Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

View attachment 2306503
Hii statement ya Ally Happy ilimuwekea ukomo wake wa kisiasa.
Ni somo kwa vijana kuwa wazee wana mizizi mirefu na hawasahau.
Katika hii Awamu ya 6, nilijua tu its a matter if time kuwa Ally Hapi atakata pumzi ya kisiasa muda ukifika.
Karibu kwenye zege ndugu Ally Hapi.
Asali aliyolamba imemtosha.
 
Kanamuiga Nyerere hapo kwenye kuongea. Eti anakunja na sura, anarudiarudia maneno, kustammer kwa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Yani hawa vijana ni washamba sijawahi kuona! Huu wote ni ushamba na ulimbukeni. Kwa kweli turudi tu kwa wazee kwenye hizi nafasi. Hawa wafundishwe na wapate experience ya uongozi kwa nafasi ndogo ndogo kwanza. Twende ngazi kwa ngazi.
Kajizi2
 
wewe kumbe ni upeipo mashine zinapelekwa mikoa midogo ili ipate maendeleo unataka apewe mikoa mikubwa ambayo tayari imeishpata maendeleo makubwa ya nini anatakiwa akaendeleze mkoa wa njombe kielimu na kimaendeleo ndio hoja iyo



Kwa hiyo unaona ni sawa Professor kwenda kufundisha Shule ya chekechea ? Badala ya kufundisha chuo kikuu ?

Ili kwenda kuwafanya kuwa na uelewa wa hali ya juu ?
 
Ally Happy ni mmoja kati wa vijana wachache wenye uthubutu wa kuzungumza kwa uwazi kile wanachokiamini bila woga.

Vijana wengi wa kitanzania ni goigoi na walamba viatu!
Aende sasa huko mtaani akaongee anachoamini
 
Ccm ni walewale wanapeana shibe, yupo nje kwa muda watamrejesha ale tena kama chalamila karudi yeye ni nani asirudi.
 
Hapi wamemtoa Ili kupooza attention ya kipigo cha maumivu ya nyongeza ya mshahara. Niliwaambia ccm watatuletea tukio Ili kutusahulisha wanatujua sue watz
 
Watz nishai sana kumbe wanaweka vitu vifuani halafu wanakuangalia tu .Bwana Ally anapigwa kwa maneno tu mbele na nyuma .Hawa madogo tukianza na Konda ,Hapi,Mnyeti,Gambo,Kitwala,Sabaya ,Kihongosi ni 'case study ' nzuri sana ya vijana kujifunzia uongozi.Msameheni anaweza kujinyonga huyu kwa maneno tu.
 
Si unaona hata yeye baada ya kuwa mstaafu katulia tuli kama hayupo vile
 
Back
Top Bottom