Ally Happy naye ashindwa kumjibu Lissu, apuyanga bila kujibu hoja

Lissu hawezi kujibiwa na hao vilaza kwa sababu huwa anaongea ukweli. Katika hadhira ya watu timamu ni HAIWEZEKANI kuufanya uongo uushinde ukweli. Wanaoweza kuhadaika na hawa ngumbaru ni wale watz wakujiita wanyonge ambao wao hata wakiona rangi ya kijani tu mashetani yanawapanda hawahitaji reasoning.

Tuendelee tu kuwapa airtime ili wauanike vyema ubogus wao.
 
Ccm wenyewe ndo kwenye hilo kundi
 
Lissu shikamoo 😂😂😂
Yaani anawachachafya mpaka maji wanatia Mmaa bado Chenge na Kabudi hawajatoka mafichoni. Huyu Lissu ni jabali nakumbuka kipindi yupo bungeni alizipangua hoja za Hawa jamaa saa mzima na akawatoa jasho japo walikuwa kwenye AC 😂😂😂
 
NAWEWE ,kwamba unafurahia eti mzee mwinyi alianzisha mfumo wa vyama vingi ,kweli?

Au ni msukumu wa uchumi Duniani baada ya ujamaa uchwara kufeli nchini na duniani
sifurahishwi na mwanasiasa mwepesi ambae anafall kirahisi kwenye trap za mshindani wake :whatBlink:
 
Lissu hawezi kujibiwa na hao vilaza kwa sababu huwa anaongea ukweli. Katika hadhira ya watu timamu ni HAIWEZEKANI kuufanya uongo uushinde ukweli. Wanaoweza kuhadaika na hawa ngumbaru ni wale watz wakujiita wanyonge ambao wao hata wakiona rangi ya kijani tu mashetani yanawapanda hawahitaji reasoning.

Tuendelee tu kuwapa airtime ili wauanike vyema ubogus wao.
Kuna tetesi zinasema kuwa wale viongozi wa dini waliopiga dili la kuingiza sukari wameomba wasitwaje hadharani, viongozi wengi wamemsihi LISSU asifanye hivyo
 
Hivi ruzuku ina expiry date? Katiba ndivyo inasema kuwa chama kisipochukua ruzuku yake katika muda fulani ndio basi? Au na hili nalo wanataka kuligeuza kuwa ni fadhila ya chama chao?

Amandla...
 
Back
Top Bottom