Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kila mara linapokuja Tamasha la Wananchi yeye anakuwa na kazi ya kuhamasisha tu watu kufika Uwanjani lakini Siku ya Tukio msemaji Mkuu anakuwa Chaguo la Tajiri Haji Manara.
Mwaka huu aliahidi kuwa ndani ya nyumba angeshika kipaza dakika za mwishoni anakuja aaambiwa " hilo suala la kutambulisha wachezaji amepewa Manara"
Ukiangalia kwa uwezo nadhani kinachomkwamisha huyu dogo pia wengi wanasema anajaribu kuiga usemaji wa yule Msemaji wa Simba Ahmed Ali. Sasa hili nalo linakwaza viongozi kuwa kwa nini asiwe na identity yake?
Anyway. Alikuwepo alipewa jukumu la kumtafuta Amanda. Sijui alifikia wapi katika hilo ila nadhani sasa viongozi waanze kumwamini.
Asikae kinyonge. Amekosa raha kabisa toka siku ya Tamasha. Kabwana mdogo kamekuwa kanyonge sana inasemekana hakamfurahishi sana tajiri kama mwenzie anajituma sana anapokuwa na Tajiri. Nadhani mnaelewa hapo.