Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Post aliyoweka jana akiaga mashabiki kaifuta kwenye ukurasa wake, je ni kweli kaondoka tena au ni kiki tu za michezo ila alikuwa amemaliza mkataba wake na hivyo kuongezewa mkataba mwingine?
Zaidi soma: Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani
====
Rais wa Yanga Eng. Hersi na Makamu wake Arafat Haji wamefanikiwa kumrejesha kazini Ally Kamwe kwenye nafasi yake ya Meneja Habari na Mawasiliano na Tayari amesaini Mkataba Mpya wa miaka miwili ndani ya Klabu hiyo.
Kamwe alieleza changamoto zake kwa viongozi zilizompelekea kuchukua uamuzi wa kujiuzulu mbele ya Uongozi na kwa maslahi ya pande zote mbili wamekubaliana kuzifanyia kazi.