Ally Kamwe asema kikosi cha Yanga kitawasili saa 11 uwanjani kujiandaa na Mechi ya dabi leo jioni

Huu uhuni lazima ukomeshwe. Ilianza na RC wa Mwanza (ambaye ni Yanga lia lia kabisa) kuizuia Simba pale CCM Kirumba ilipokuwa inajiandaa dhidi ya Pamba FC. Simba ulipotezea, sasa naona wanataka kuchonga mzinga. Pumbavu sana Uto!
 
Kama mechi imeahirishwa wewe meneja wa uwanja kwann unaruhusu Yanga waingie uwanjani, mechi ushaambiwa haipo wewe umeruhusu Yanga waje na basi Lao waingize timu uwanjani, ulishindwa nn kufunga mageti na kuwajulisha uongozi wa Yanga kuwa mechi haipo na watu warudi majumbani.

Kuruhusu Yanga walete timu uwanjani maana yake nn kama sio uchochezi
 
Hicho kikosi kinaenda kucheza na bibi yake. Hakuna kipengele.
 
Kama mechi imeahirishwa wewe meneja wa uwanja kwann unaruhusu Yanga waingie uwanjani, mechi ushaambiwa haipo wewe umeruhusu Yanga waje na basi Lao waingize timu uwanjani, ulishindwa nn kufunga mageti na kuwajulisha uongozi wa Yanga kuwa mechi haipo na watu warudi majumbani.

Kuruhusu Yanga walete timu uwanjani maana yake nn kama sio uchochezi
Bodi ya ligi imejaa vilaza! Yanga ni haki yao kuingiza timu uwanjani!
 
Kama mechi imeahirishwa wewe meneja wa uwanja kwann unaruhusu Yanga waingie uwanjani, mechi ushaambiwa haipo wewe umeruhusu Yanga waje na basi Lao waingize timu uwanjani, ulishindwa nn kufunga mageti na kuwajulisha uongozi wa Yanga kuwa mechi haipo na watu warudi majumbani.

Kuruhusu Yanga walete timu uwanjani maana yake nn kama sio uchochezi
Wanazidi kujichafua.
 
Sio bodi tu ya Ligi, Nchi hii wajinga wengi ndio wamepewa nafasi.
 
Kama mechi imeahirishwa wewe meneja wa uwanja kwann unaruhusu Yanga waingie uwanjani, mechi ushaambiwa haipo wewe umeruhusu Yanga waje na basi Lao waingize timu uwanjani, ulishindwa nn kufunga mageti na kuwajulisha uongozi wa Yanga kuwa mechi haipo na watu warudi majumbani.

Kuruhusu Yanga walete timu uwanjani maana yake nn kama sio uchochezi
Kwani ule uwanja gharama si analipa Yanga kupitia mapato yake au hujui hilo. Ule uwanja si wa TFF ni wa serikali, Yanga mwenyeji na ndiye atakaye lipa gharama za matumizi ya huo uwanja kwa siku ya leo.

Yanga sio wachochezi hawajapata barua officially kwani ofisi haifanyikazi kupitia Instagram.
 
Utopolo mda wote ni kufata maelekezo ya mganga
IMG-20250308-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom