Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Bodi ya ligi imejaa vilaza! Yanga ni haki yao kuingiza timu uwanjani!Kama mechi imeahirishwa wewe meneja wa uwanja kwann unaruhusu Yanga waingie uwanjani, mechi ushaambiwa haipo wewe umeruhusu Yanga waje na basi Lao waingize timu uwanjani, ulishindwa nn kufunga mageti na kuwajulisha uongozi wa Yanga kuwa mechi haipo na watu warudi majumbani.
Kuruhusu Yanga walete timu uwanjani maana yake nn kama sio uchochezi
Wanazidi kujichafua.Kama mechi imeahirishwa wewe meneja wa uwanja kwann unaruhusu Yanga waingie uwanjani, mechi ushaambiwa haipo wewe umeruhusu Yanga waje na basi Lao waingize timu uwanjani, ulishindwa nn kufunga mageti na kuwajulisha uongozi wa Yanga kuwa mechi haipo na watu warudi majumbani.
Kuruhusu Yanga walete timu uwanjani maana yake nn kama sio uchochezi
Wakafanye hata mazoeziUzuri hawajapokea barua officially.
Sio bodi tu ya Ligi, Nchi hii wajinga wengi ndio wamepewa nafasi.Kama mechi imeahirishwa wewe meneja wa uwanja kwann unaruhusu Yanga waingie uwanjani, mechi ushaambiwa haipo wewe umeruhusu Yanga waje na basi Lao waingize timu uwanjani, ulishindwa nn kufunga mageti na kuwajulisha uongozi wa Yanga kuwa mechi haipo na watu warudi majumbani.
Kuruhusu Yanga walete timu uwanjani maana yake nn kama sio uchochezi
Kwani ule uwanja gharama si analipa Yanga kupitia mapato yake au hujui hilo. Ule uwanja si wa TFF ni wa serikali, Yanga mwenyeji na ndiye atakaye lipa gharama za matumizi ya huo uwanja kwa siku ya leo.Kama mechi imeahirishwa wewe meneja wa uwanja kwann unaruhusu Yanga waingie uwanjani, mechi ushaambiwa haipo wewe umeruhusu Yanga waje na basi Lao waingize timu uwanjani, ulishindwa nn kufunga mageti na kuwajulisha uongozi wa Yanga kuwa mechi haipo na watu warudi majumbani.
Kuruhusu Yanga walete timu uwanjani maana yake nn kama sio uchochezi
Wanajionesha na kuwaonesha bodi ya ligi na tff kua wao ni mwamba kweli kweli na ni wahuni pia na hawatishwi na lolote.Wanazidi kujichafua.
Wao ni amphibians 🐸🐸Wao sio umma?
Umeona hao bodi ya ligi ilivyojaa wapumbavu!!!!?????Uzuri hawajapokea barua officially.
Braza kuwa serious basim officially mambo hayaendi hivyo.. typically unproffesionalKuna taarifa kwa Umma ya Bodi. Wao sio umma?