Ally Kamwe msemaji wa Yanga afungwe break, Haya sasa Mzee wa watu kakujibu kiutu uzima

Upumbavu huu.Yeye ni kiongozi hapaswi kuleta matusi kwa watu alete utani kwa timu.
Angesema kolo na andazi hakuna mtu angemlaumu.
Hata Hilo la kolo alisema likiwa la pili, alipotaka kuvunga kuongea la 3 (tayari tangu mwanzo alikuwa amewambia mashaabiki zake kuwa ana vitu 3) mashaabiki wakamkumbusha namba 3, ndiyo akataja Mgunda na andazi. Clip yake imetapakaa mitandao kibao.
 
Well said, Kuna mtoto mmoja humu naye nilimwambia exactly km ulivyosema kuwa kumtaja mtu specifically ni tofauti na kutaja kundi la wat kwa ujumla wake, nikampa hadi mifano. Lakini kanipandia kwa lugha za kejeli eti hizo ni hasira za kushindwa kupata vikombe ndiyo maana tunalikuza. Nilimuuliza swali "km baba yako ndiyo angelinganishwa na andazi ungejiskiaj", hakujibu. Nikamwambia abaki hapo anaposimamia mimi staki ligi.
 
This is personal attacks sasa tukiendekeza hii hali tunatengeneza chuki ambayo haina maana yoyote.
 
basi tuelekeze dua sasa yanga ifungwe leo ili ku-balance story
 
Taratibu huku ni jamii sports maana hpo nikisema nihoji tu hao kina takadiri, sopu na prezoo ni kinanani hao! uzi utanuka nya huu na ninvyokujua ww kw mambo hzi ni mchmbuzi mzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeachaaaa!!!!
 
Lol. Mtani karibu Kwa Mkapa kesho.

Tuwasiliane nikupe tiketi Mtani. [emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtaniii nipoooo hapaa.
Wee uko kwa wapiii.
Uzalendo kwanza.
 
Namuombea kwa Mungu awe na mwisho mzuri, mimi nimeshuhudia watu wengi wakifanya kazi Yanga na Simba na sasa wapo nje ya mfumo.

Hi kauli ni kubwa sana ukikaa ukiitafakari kwa makini
Akili imkae kichwaniii sasa huyo Ali.
 
Ko hapo nyumbani kwako unaweza sema baba na andazi nachagua andazi, kisa yuko team tofauti na wee???
 
Hata Hilo la kolo alisema likiwa la pili, alipotaka kuvunga kuongea la 3 (tayari tangu mwanzo alikuwa amewambia mashaabiki zake kuwa ana vitu 3) mashaabiki wakamkumbusha namba 3, ndiyo akataja Mgunda na andazi. Clip yake imetapakaa mitandao kibao.
Sasa hii ya Mgunda aliidhamiria binafsi, km akishataja Kolo, iweje amtaje mgunda personal?

Huoni ni personal attacks??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…