Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Huyu dogo alikuwa mtu makini sana but toka ameingia utopolo hakika amekuwa mmoja wa wapumbavu kabsa
Aly ameomba radhi , amejua kama amekosea na atamuomba radhi kadri siku zinavyoenda mbele.
Lakini sasa ajenda itabadilika na kumshambulia Aly Kamwe .
Tunakula kakisea lakini kaomba asamehewe kuna binadamu ambaye hafanyi makosa?
Naomba Tu Kesho yanga tushinde kwa sababu tukifungwa watu wataanza kusema ni laana za Mgunda na Aly atakuwa kwenye kikaango kikubwa Sana.
Kila la kheri YANGA , Muungwana akivuliwa nguo huchutama Aly kachutama kesi iishe.