hatuendi hivyo ili kuzuia uzushi na uongo ndio maana principle ni "who alleges must prove"Basi aje abishe mwenyewe na siyo wewe kama issue ni burden of proof
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatuendi hivyo ili kuzuia uzushi na uongo ndio maana principle ni "who alleges must prove"Basi aje abishe mwenyewe na siyo wewe kama issue ni burden of proof
Ndio ni raia wa Europe mdgo ake Elton JohnHuyo Ali kamwe ni mzungu??
Kwanza aina ya mashabiki walioitikia "andaaaaziii" mbona humu wapo wengi mzee?Mgunda kaongoe maneno mazito sana. Kwani Ali Kamwe alianza vipi hadi kufikia kwa Mgunda? Mbona mechi ni Yanga vs USM Alger na bora hata angekuwa kamtupia madongo Ahmed Ally tungesema labda karudisha madongo. Sasa huyu baba wa watu kamuanzia nini?
Mgunda amemsamehe na hajaonesha kinyongo.Aly ameomba radhi , amejua kama amekosea na atamuomba radhi kadri siku zinavyoenda mbele.
Lakini sasa ajenda itabadilika na kumshambulia Aly Kamwe .
Tunakula kakisea lakini kaomba asamehewe kuna binadamu ambaye hafanyi makosa?
Naomba Tu Kesho yanga tushinde kwa sababu tukifungwa watu wataanza kusema ni laana za Mgunda na Aly atakuwa kwenye kikaango kikubwa Sana.
Kila la kheri YANGA , Muungwana akivuliwa nguo huchutama Aly kachutama kesi iishe.
Basi aende Muhimbili akapimwe kwenye haja kubwa kama alivyopimwa Noel yule designer shoga wa Diamondhatuendi hivyo ili kuzuia uzushi na uongo ndio maana principle ni "who alleges must prove"
Kwa navyozijua hizi Club, hilo sidhani kama litawezekana.Paragraph yako ya 3 aizingatie.
Mimi siyo shaabiki wa Team za NBC ila ninashaabikia mchezo wa mpira wa miguu,ni shaabiki wa Barcelona lkn kati ya vitu ambavyo kinakosewa Tz ni kwamba Team zetu hazijui kuwa anachokisema msemaji na ndio kauli ya team hivyo anapaswa kuzungumza kile alichoambiwa kusema.
Sasa hapa kwetu msemaji eti yupo kwa ajili ya kukera watu.
Yaani cheo cha msemaji wa team (mkurugenzi wa mawasiliano na habari)wa team hakina thamani kiasi cha kutoa matusi hovyohovyo na wa upande wake (team yake wanafurahia sana pale anapo kera watu) Nilitarajia kwa hatua walipofikia Young Africa waombe radhi kupitia ukurasa wao kwani huu ndio muda wa kuvuna wapenzi wenye akili timamu na wa kuwaunga mkono popote na nyakati zote.
Yani bora ingekuwa Ahmed maana naye ana mdomo mdomo ila kwa Mgunda hata mimi imenishangaza sanaMimi najiuliza dogo alikuwa anatafuta nini? Mgunda ameingiaje?
Mimi pia nachagua ANDAZI tena ANDAZI KUBWA lenye UBINGWA wa NGAO YA HISANI, NBC, AFC & CAFCC ANDAZI limechukua makombe YOTE kweli NAKUPENDA ANDAZIHaya sasa kakujibu kiutu uzima kama baba. Kazi kwako.
Akimaanisha Kati ya Simba na ANDAZI unachagua nini Ila aliuliza indirectly kwenye Simba akaweka Mgunda msijifanye hamuelewa na hamuoni acheni kabana ushuzi mkajifanya hamjuiMimi najiuliza dogo alikuwa anatafuta nini? Mgunda ameingiaje?
Ametenda lisilo jema hakika, hata Mimi shabiki wa Yanga sijafurahi kabisa. Kudhihaki watu sio Jambo jema kabisa. Lazima tujivunie makocha wazawa Kama Mgunda, wameonesha uwezo mkubwa. Ali Njoo uombe radhi.BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU
🗣️"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya nchi yetu.
🗣️Sijui kinachopelekea mimi kuwa miongoni mwa kampeni hii ya matusi na kunidhalilisha Nilidhani kampeni itakuwa ni kushinda fainally, kuliko hiki alichokifanya Mwanangu Ally Kamwe.
🗣️Namuombea kwa Mungu awe na mwisho mzuri, mimi nimeshuhudia watu wengi wakifanya kazi Yanga na Simba na sasa wapo nje ya mfumo.
🗣️Kama nilipaswa kutukanwa ili Yanga ishinde basi nimekubali ili Taifa langu lijivunie .
🗣️Tusiposhinda kesho nitashangaa sana kwanini tumefungwa wakati kilichotakiwa kifanywe kimefanywa juu yangu na familia yangu" Kocha Juma Mgunda.
Akiwa ktk kampeni za mechi ya tarehe 28/05/2023 huko Zakhiem Mbagala aliwauliza mashaabiki kati ya "Mgunda na andazi" utachagua nini. Mashaabiki wakaitikia "andazi" . Hakutosheka akauliza tena"kati ya wasimamizi wa Feisal na andazi utachagua nini. Mashaabiki tena wakajibu "andazi".
Sasa mimi kama mtu mzima naona Ally Kamwe alichofanya ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa malezi na makuzi ya wazazi wake. Huwezi kumlinganisha mtu mzima mwenye umri sawa na baba yako na "andazi".
Mgunda amekuwa Hana utani wa Simba na Yanga hata ktk media sjawahi kumskia akitoa maneno ya shobo kwa Wana Yanga. Iweje leo mbele ya watu tena wa rika tofauti tofauti umlinganishe na andazi.
Haya sasa kakujibu kiutu uzima kama baba. Kazi kwako.
Hilo swali nami nimejiuliza, baba wa watu kamkoseea nini au kamuhusisha vipi hadi kumtusiMimi najiuliza dogo alikuwa anatafuta nini? Mgunda ameingiaje?
Ally Kamwe anafanya kazi nzuri sana lazima tumpe pongezi yake katika hiloHuyo mtoto ni fala kabisa, Yanha inabidi imtafakari upya.
Utani wa Simba na Yanga umekuwepo kwa miaka mingi lakini si kwa namna kanavyoupeleka au baadhi wanavyouchukulia siku hizi.
Nilishangaa sana siku alivyoandaa sijui tamasha na kutaka watu wajitokeze kuicheka Simba, pale niliona kabisa vile ambavyo anapotoka.
Sababu kwangu niliona ni mara ya kwanza nikachukulia kuwa ana muda wa kujirudi na bahati nzuri watu ni kama walikua na uelewa kama wangu poa kwani kelele zilipigwa k8dogo but baadaye wakapotezea.
Mgunda amekuwa akibezwa sana na Mashabiki, lakini hilo kwake halijawahi kuwa shida sababu ndiyo eneo la mashabiki kutambiana na bila hivyo huwa ladha ya ushabiki haikamiliki. Kitendo cha msemaji rasmi kwa kutumia nafasi yake na platform ya club kumbeza Mgunda hili kamwe halikubaliki, huku ni kama Yanga inachafua image ya mtu na hivyo kumharibia career yake.
Huyu dogo na Feytoto hawana tofauti, na yeye anapaswa kujiweka pembeni kwa upuuzi wake au Yanga wamuadabishe hata kwa kumsimamisha kwa muda au kumuomba ladhi Mgunda ili kujitenga na matamshi yake.
Sema hujamwelewa Ally Kamwe ndio maana Mimi ni shabiki wa Yanga Ila pia ni Shabiki wa Ally Kamwe jamaa hakumaanisha mlivyochukulia nyinyi vichwa vidogo yeye kawaambia Mgunda akimaanisha Simba Ila kafunga semi kwani mgunda anafundisha team gani na hio team imeambulia Nini msimu huu ukipewa andazi na ukipewa Simba unachagua nini ? ANDAZIAmetenda lisilo jema hakika, hata Mimi shabiki wa Yanga sijafurahi kabisa. Kudhihaki watu sio Jambo jema kabisa. Lazima tujivunie makocha wazawa Kama Mgunda, wameonesha uwezo mkubwa. Ali Njoo uombe radhi.
Nyie ndio fans mlio shout "andaaaaaaaziiiii"Sema hujamwelewa Ally Kamwe ndio maana Mimi ni shabiki wa Yanga Ila pia ni Shabiki wa Ally Kamwe jamaa hakumaanisha mlivyochukulia nyinyi vichwa vidogo yeye kawaambia Mgunda akimaanisha Simba Ila kafunga semi kwani mgunda anafundisha team gani na hio team imeambulia Nini msimu huu ukipewa andazi na ukipewa Simba unachagua nini ? ANDAZI
Basi wewe bakia hapo ulipo isiwe nongwa.Kwahiyo unataka nikupe reference ya dhihaka ya utani wa jadi kwa mtu mmoja mmoja?
Sio kucheka Simba na Yanga ni WATANI WA JADI acha kujifanya hujui hawajaanza leo kutaniana utani upo TU hata kwenye tamaduni zetu Mdigo anamtania Mmakonde? maisha yanasongaMfano hilo la kuicheka Simba sio tu kama halikupokelewa vizuri na Simba bali hata mashabiki wenyewe (watu wazima) walio wengi waliliona ni jambo la kitoto.
Yebaba AndaaaaaaaaaaziiiiiiiiNyie ndio fans mlio shout "andaaaaaaaziiiii"
Wewe ni Simba lialia ? Kati ya Andazi na ............. unachagua nini ? Andazi ? Sijasikia umesema Andazi ?Yanga ikifika hapo huwa siwaelewi, mnashindwa kupata msemaji mstaarabu, mnakuja kuokota okota vitoto havina adabu hata kwa wakubwa wao.
Hebu katoeni hako ka chikondina kama kanakula cement.
Iwe funzo na wengine kuwa na adabu. Kuna namna ya kuongea utani, si kudhalilisha namna hiyo.
Mimi sijawahi muelewa huyo dogo, ana maneno kama kameza CD.