BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
- Thread starter
- #161
Hata Hilo la kolo alisema likiwa la pili, alipotaka kuvunga kuongea la 3 (tayari tangu mwanzo alikuwa amewambia mashaabiki zake kuwa ana vitu 3) mashaabiki wakamkumbusha namba 3, ndiyo akataja Mgunda na andazi. Clip yake imetapakaa mitandao kibao.Upumbavu huu.Yeye ni kiongozi hapaswi kuleta matusi kwa watu alete utani kwa timu.
Angesema kolo na andazi hakuna mtu angemlaumu.