Ally Kamwe msemaji wa Yanga afungwe break, Haya sasa Mzee wa watu kakujibu kiutu uzima

Ally Kamwe msemaji wa Yanga afungwe break, Haya sasa Mzee wa watu kakujibu kiutu uzima

Mimi ni Mshabiki wa Yanga kwa miaka mingi, lakini NIMEUMIZWA SANA NA HILI. Yaani ni bora angemtukana mwingine lakini sio Mgunda

Mzee Juma Mgunda huwa ni Mstaarabu mno mno.
 
Hili lijamaa limeleta gundu, Ogopa sana kushambulia watu wasio na hatia.
 
Ally Kamwe utundu wako umepanuka. Huko nyuma haukuwa hivi.
 
Mimi Kama shabiki wa simba ningependa kumi ombea msamaha Ally kamwe msamaha kwani hiilaana itawaponza YANGA kilasiku
 
Aly ameomba radhi , amejua kama amekosea na atamuomba radhi kadri siku zinavyoenda mbele.

Lakini sasa ajenda itabadilika na kumshambulia Aly Kamwe .

Tunakula kakisea lakini kaomba asamehewe kuna binadamu ambaye hafanyi makosa?

Naomba Tu Kesho yanga tushinde kwa sababu tukifungwa watu wataanza kusema ni laana za Mgunda na Aly atakuwa kwenye kikaango kikubwa Sana.

Kila la kheri YANGA , Muungwana akivuliwa nguo huchutama Aly kachutama kesi iishe.
Dah...ndio tushafungwa kaka😭
 
Alifanya vizuri kumpigia simu. Mgunda hana makuu
 
Mgunda anahekima Sana na mdomo msafi mbele ya yanga ,kunamaswali hua anaulizwa kimitego lakini hajawahi isema yanga hovyo

Utasikikia hizi ni mbio za marathoni kwahiyo isiwape tabu ,kileleni pale nipetu
 
Naomba Tu Kesho yanga tushinde kwa sababu tukifungwa watu wataanza kusema ni laana za Mgunda na Aly atakuwa kwenye kikaango kikubwa Sana.

Kila la kheri YANGA , Muungwana akivuliwa nguo huchutama Aly kachutama kesi iiiishe.K
Ally kachutama kwa shughuli nyingine lakini siyo ya Mgunda
 
Back
Top Bottom