Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Acha ajipendekeze Lakini harudi bungeni.Mpumbavu na mshenzi sana, ni shetani kinyamkera.
Angeenda bungeni bila sisi, wamevibiwa sasa wanatuona sisi si lolote si chochote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ajipendekeze Lakini harudi bungeni.Mpumbavu na mshenzi sana, ni shetani kinyamkera.
Angeenda bungeni bila sisi, wamevibiwa sasa wanatuona sisi si lolote si chochote!
Darasa la 4BHuyu Mzee dish huwaga limeyumba
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji119][emoji119]Kila mtu anajipendekeza ili jina lipite kwenye kutafuta wagombea.
Tulia basi na wewe mbona wakina Jokate hawakuwa na papara hivi n u dc wamepata
Rais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa
Nikiongoz mzuri sana mtetezi wa wanyonge ila nilazima tukumbuke hakuna mwanadam ataishi milele ndio maana kuna vipindi vya maongozi pamoja na uzuri wote wa Mh Magufuli kumuongezea muda nikutaka litumbukiza taifa hili ktk kiza kinene ambacho vizaz vijavyo vitafukua makaburi nakupima akili zetu kama zilikuwa sawa huu mchezo Ally , team yake wanaufanya nilazima waache mara moja kwa ustawi wa Taifa hili kam Nyerere aliondoka na Mkapa alitawala akamaliza salama je Magufuli atakuwa nani? Binafsi nitamshangaa sana ikiwa hato wakemea hawa watu kama Ally Kessy
Hivi watu wa Nkansi-Namanyere -Rukwa hamna mtu mwenye akili zaidi ya hawa wawili na mipata wake? Nashukuru mungu nilihama huko na saizi nipo DSM napambana na makonda"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Kama wananchi watakubali abaki sidhani kama wanasiasa wanaweza pinga sababu wanasisa wengi hutafuta vyeo wananchi hutafuta viongozi wenye kuleta maendeleo. Binafsi naona uchaguzi wa mwaka huu ndio utaonesha ni kiasi gani wananchi wangependa JPM aendele kuongoza.Return Of Undertaker,
Ni kiongoz mzuri sana mtetezi wa wanyonge ila nilazima tukumbuke hakuna mwanadam ataishi milele ndio maana kuna vipindi vya maongozi pamoja na uzuri wote wa Mh Magufuli kumuongezea muda nikutaka litumbukiza taifa hili ktk kiza kinene ambacho vizaz vijavyo vitafukua makaburi nakupima akili zetu kama zilikuwa sawa huu mchezo Ally , team yake wanaufanya nilazima waache mara moja kwa ustawi wa Taifa hili kam Nyerere aliondoka na Mkapa alitawala akamaliza salama je Magufuli atakuwa nani? Binafsi nitamshangaa sana ikiwa hato wakemea hawa watu kama Ally Kessy
ROGER THAT.Kila mtu anajipendekeza ili jina lipite kwenye kutafuta wagombea.