Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana hasara umri wake unaruhusu kusema hivo"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Katika chaguzi ngumu kwa CCM, huu wa mwaka huu unaweza kuwa #1. Mark my words!
Huyo Mayalla Pamoja na kujitutumua kote anaendeshwa nA Mke wake Kinyama, Mchaga yule anamwendesha hatari, Mpaka familia imemtengaTulia basi na wewe mbona wakina Jokate hawakuwa na papara hivi n u dc wamepata
Nautazama kama utoto fulani hivi"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Hili ni Jukwaa la siasa, hoja iliyo mezani ni hoja serious ya Mhe. Kesi, mambo ya mke wangu unayaleta hapa ya nini?!.Huyo Mayalla Pamoja na kujitutumua kote anaendeshwa nA Mke wake Kinyama, Mchaga yule anamwendesha hatari, Mpaka familia imemtenga
Naiona Libya ya wakati wa mwisho wa Gaddafi inakuja kwa kasi ya ajabu sana.Kwa utukufu aliopewa mkuu huenda hata uchaguzi usiwepo wagombea nafasi urais watafika bei, na wabishi watakiona,patafanyika chaguzi wabunge na madiwani wachache ushahidi democrasia!! Vyama washirika ccm.
Angalizo wapambe wa mkuu acheni hizo kumjaza ujinha, tutajuta pamoja. JPM kafanya kazi kubwa Misingi miradi uti wa mgongo uchumi wa kati, kujenga msingi sio kazi ngumu, mtihani kumalizia.
Watz wanamachungu na magumu mengi, tusipowapoteze Jumuia ya kimataifa tutajuta na miradi mingi kusimama.
Mfano sector afya ni kweli yapo majengo mengi ila vifaa na wahudumu wa kutosha na wenye motisha bado!Thamani ex ray pekee yaweza kuzidi Majengo zahanati.
Ndiyo tunaelekea hukoWasithubutu kufanya huo upuuzi wanaofikiria
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.....mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...ANASTAHILI