Kwa utukufu aliopewa mkuu huenda hata uchaguzi usiwepo wagombea nafasi urais watafika bei, na wabishi watakiona,patafanyika chaguzi wabunge na madiwani wachache ushahidi democrasia!! Vyama washirika ccm.
Angalizo wapambe wa mkuu acheni hizo kumjaza ujinha, tutajuta pamoja. JPM kafanya kazi kubwa Misingi miradi uti wa mgongo uchumi wa kati, kujenga msingi sio kazi ngumu, mtihani kumalizia.
Watz wanamachungu na magumu mengi, tusipowapoteze Jumuia ya kimataifa tutajuta na miradi mingi kusimama.
Mfano sector afya ni kweli yapo majengo mengi ila vifaa na wahudumu wa kutosha na wenye motisha bado!Thamani ex ray pekee yaweza kuzidi Majengo zahanati.