Tuweke facts sawa, kubadili katiba sio kuivunja. Tatizo wanaenda kinyume na madhumuni (spirit ) ya katiba. Pamoja na katiba kuruhusu kubadilika, lazima kuwe na sababu ya msingi na ya kuleta mabadiliko chanya kama tulivyofanya kwenye kurudisha vyama vingi.Nimeshangazwa na uelewa wa wabunge hawa kuongelea swala la kubadili Katiba kimasihara. Wamuogope Mungu na kuheshimu katiba na Watanzania. Ni dhambi kumtukuza na kumsujudu mwanadamu anaepita.
Ndiyo maana wanatunga sheria za kujilinda...........Nimeshangazwa na uelewa wa wabunge hawa kuongelea swala la kubadili Katiba kimasihara. Wamuogope Mungu na kuheshimu katiba na Watanzania. Ni dhambi kumtukuza na kumsujudu mwanadamu anaepita.
It's quite true that ur name reflects who u r [emoji3][emoji3]Wakristo ndiyo mnataka sisi waislam mtutawale maisha. Hilo haiwezekani never
Hakika akili zako umekopa.Rais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa
Kipo wanachokihangaikia sio kwamba wanampenda sanaaAtakae mpokea kijiti ataimalizia kama yeye alivomalizia miradi ya Kikwete
[emoji116][emoji116]Nimeshangazwa na uelewa wa wabunge hawa kuongelea swala la kubadili Katiba kimasihara. Wamuogope Mungu na kuheshimu katiba na Watanzania. Ni dhambi kumtukuza na kumsujudu mwanadamu anaepita.
Tatizo lililopo co kumtukuza Magu bali hakuna mwenye uthubutu wa Magu kwa kipindi hiki, urais c wa kujaribu jaribu mzee, tumwache huyu mzee ainyooshe hii nchi kwa miaka mingine 15 zen tumwache aende cz kwa kasi hii hope tutakuwa vzr sn, tuache mambo ya siasa hazitatusaidia, co lazima kila mtu awe rais japo kila mtz ana haki kimsingi kuwa rais wa JMT.Rais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana
Hakika akili zako umekopa.
[emoji116][emoji116]Tatizo lililopo co kumtukuza Magu bali hakuna mwenye uthubutu wa Magu kwa kipindi hiki, urais c wa kujaribu jaribu mzee, tumwache huyu mzee ainyooshe hii nchi kwa miaka mingine 15 zen tumwache aende cz kwa kasi hii hope tutakuwa vzr sn, tuache mambo ya siasa hazitatusaidia, co lazima kila mtu awe rais japo kila mtu ana haki ya kimsingi kuwa rais wa JMT.
Mkuu ulishapata harufu ya hilo suala?Ni mpango mkakati wa muda mrefu sana
Lazima tusimame pamoja kuvuka ktk janga hili, ni aibu sana kwa nchi kubwa na yenye rasilimali nyingi kama Tz kujenga interchange yake ya kwanza 2020, ni aibu kwa nchi kuzidiwa kiuchumi na nchi km kenya, ni aibu kwa nchi yetu kujenga reli kwa pesa za ndani 2020, ni aibu sana kwetu kuanza kujenga bwawa kubwa la umeme na lenye tija kwa taifa 2020, najiuliza hao waliopita walikuwa hawaoni umuhimu wake kwa taifa? Leo tunajenga reli ya umeme, je kuna kiumbe chochote hapa Tz kiliwahi japo kuota kitu km hiki, leo hii Tz inaogopwa hata na majirani zake kutokana na kasi yake ya maendeleo, nani asiyekuwa na macho kiasi cha kuambiwa haya yanayofanyika Tz? Hata vipofu wanatamani wangeyaona haya yanayofanyika nchini kwa ss, lami mitaani zimetapakaa mpk huku kwetu uswahilini, nani aliwaza hayo yote yangetokea? Mnadhani yalikuja kwa bahati mby au mnadhani ni simple kiasi hicho? Leo mashirika ya kiserikali yaliyokuwa ni mzigo kwa taifa yanapeleka dividend serikalini, mnadhani ni rahisi mTz kupewa kitengo serikalini na asipige? Acheni siasa cc wananchi hatutakiwi kuwa na chama bali tunapaswa kuwa mashabiki wa maendeleo, mm mwenyewe ckumpigia kura Magu 2015, lkn naona nilifanya kosa kubwa, tumwache Magu anyooshe nchi na matunda yake tutayaona co mda mrefu kutoka sasa.Wewe ni Mzalendo
Return...
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Spika Ndugai ajibu hivi
“Mheshimiwa Keissy ngoja twende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Kessy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
Huyu dawa yake kumrudisha kwao Yemen tu
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Spika Ndugai ajibu hivi
“Mheshimiwa Keissy ngoja twende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Kessy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
Mkuu akili ako inakutosha wewe na familia yako tu. Yaan kuwa baba wa familia. Huwezi hata kuwa mwenyekiti maana huyu anaongoza kijiji. Vitu vidogo vidogo vinakuridhisha nakutaka katiba ivunjwe iwe kuongoza ni 15 years jaribu kufikiri kwa nn muda wa urais uliwekwa only 10 years. Kama hao waliopita wangeoza muda sidhanj hata magu kama leo hii angekuwa rais[emoji116][emoji116]Tatizo lililopo co kumtukuza Magu bali hakuna mwenye uthubutu wa Magu kwa kipindi hiki, urais c wa kujaribu jaribu mzee, tumwache huyu mzee ainyooshe hii nchi kwa miaka mingine 15 zen tumwache aende cz kwa kasi hii hope tutakuwa vzr sn, tuache mambo ya siasa hazitatusaidia, co lazima kila mtu awe rais japo kila mtz ana haki kimsingi kuwa rais wa JMT.