Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Mimi nipo hapa nimetulia nisikie kauli ya mweshimiwa. Natamani sana, wakati akisema kutoa maoni, mtazamo au msimamo wake, niwe na akili zangu za ziada zitakazonisaidia kung'amua vizuri kauli hata lengo litakalokuwa ndani mwa kauli hiyo. Lkn Wabunge wetu wanatuumiza mno.
 
Maraisi wote waliomtangulia walikutana na ushauri huu wa ovyo na wakaukataa ili kuilinda, kuiheshimu na kuitunza katiba ya nchi yetu kulingana na viapo vyao. Ngoja tuone ambavyo atafanya huyu Mheshimiwa wa sasa.

Kwa jinsi wapambe wake wake wanavyoonyesha msisitizo wa kumshawishi, naona naye ana "respond" kwa "gesture" ya sitaki nataka.
 
Huyu Ndugai anapalilia uspeaker wake. Anaogopa yasimkute yaliyomkuta Speaker Sitta. Anaogopa Naibu wake atakuwa speaker.
 
Hivi hao waliokomaa eti Magufuli aongezewe muda wa kuongoza nchi wanasema kutoka moyoni au ni mwendo uleule wa kujipendekeza?
 
Nimeshangazwa na uelewa wa wabunge hawa kuongelea swala la kubadili Katiba kimasihara. Wamuogope Mungu na kuheshimu katiba na Watanzania. Ni dhambi kumtukuza na kumsujudu mwanadamu anaepita.
Tuweke facts sawa, kubadili katiba sio kuivunja. Tatizo wanaenda kinyume na madhumuni (spirit ) ya katiba. Pamoja na katiba kuruhusu kubadilika, lazima kuwe na sababu ya msingi na ya kuleta mabadiliko chanya kama tulivyofanya kwenye kurudisha vyama vingi.

Mabadiliko haya yatakuwa legally correct but morally corrupt
 
Nimeshangazwa na uelewa wa wabunge hawa kuongelea swala la kubadili Katiba kimasihara. Wamuogope Mungu na kuheshimu katiba na Watanzania. Ni dhambi kumtukuza na kumsujudu mwanadamu anaepita.
Ndiyo maana wanatunga sheria za kujilinda...........

Wewe Spika una sababu zipi za kutunga sheria ili usishtakiwe, je unajihami kwa kitu gani??
 
Huyo jamaa mbunge wa Nkasi ni mbumbumbu hakuna mfano. Mimi nimeishi nae kama jirani Kirando pale.
 
Atakae mpokea kijiti ataimalizia kama yeye alivomalizia miradi ya Kikwete
Kipo wanachokihangaikia sio kwamba wanampenda sanaa
IMG_20200610_212156.jpeg
 
Nimeshangazwa na uelewa wa wabunge hawa kuongelea swala la kubadili Katiba kimasihara. Wamuogope Mungu na kuheshimu katiba na Watanzania. Ni dhambi kumtukuza na kumsujudu mwanadamu anaepita.
[emoji116][emoji116]
Rais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana
Tatizo lililopo co kumtukuza Magu bali hakuna mwenye uthubutu wa Magu kwa kipindi hiki, urais c wa kujaribu jaribu mzee, tumwache huyu mzee ainyooshe hii nchi kwa miaka mingine 15 zen tumwache aende cz kwa kasi hii hope tutakuwa vzr sn, tuache mambo ya siasa hazitatusaidia, co lazima kila mtu awe rais japo kila mtz ana haki kimsingi kuwa rais wa JMT.
 
Wewe ni Mzalendo
[emoji116][emoji116]Tatizo lililopo co kumtukuza Magu bali hakuna mwenye uthubutu wa Magu kwa kipindi hiki, urais c wa kujaribu jaribu mzee, tumwache huyu mzee ainyooshe hii nchi kwa miaka mingine 15 zen tumwache aende cz kwa kasi hii hope tutakuwa vzr sn, tuache mambo ya siasa hazitatusaidia, co lazima kila mtu awe rais japo kila mtu ana haki ya kimsingi kuwa rais wa JMT.
 
Wewe ni Mzalendo
Lazima tusimame pamoja kuvuka ktk janga hili, ni aibu sana kwa nchi kubwa na yenye rasilimali nyingi kama Tz kujenga interchange yake ya kwanza 2020, ni aibu kwa nchi kuzidiwa kiuchumi na nchi km kenya, ni aibu kwa nchi yetu kujenga reli kwa pesa za ndani 2020, ni aibu sana kwetu kuanza kujenga bwawa kubwa la umeme na lenye tija kwa taifa 2020, najiuliza hao waliopita walikuwa hawaoni umuhimu wake kwa taifa? Leo tunajenga reli ya umeme, je kuna kiumbe chochote hapa Tz kiliwahi japo kuota kitu km hiki, leo hii Tz inaogopwa hata na majirani zake kutokana na kasi yake ya maendeleo, nani asiyekuwa na macho kiasi cha kuambiwa haya yanayofanyika Tz? Hata vipofu wanatamani wangeyaona haya yanayofanyika nchini kwa ss, lami mitaani zimetapakaa mpk huku kwetu uswahilini, nani aliwaza hayo yote yangetokea? Mnadhani yalikuja kwa bahati mby au mnadhani ni simple kiasi hicho? Leo mashirika ya kiserikali yaliyokuwa ni mzigo kwa taifa yanapeleka dividend serikalini, mnadhani ni rahisi mTz kupewa kitengo serikalini na asipige? Acheni siasa cc wananchi hatutakiwi kuwa na chama bali tunapaswa kuwa mashabiki wa maendeleo, mm mwenyewe ckumpigia kura Magu 2015, lkn naona nilifanya kosa kubwa, tumwache Magu anyooshe nchi na matunda yake tutayaona co mda mrefu kutoka sasa.
 



"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).

Spika Ndugai ajibu hivi

“Mheshimiwa Keissy ngoja twende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Kessy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai


Return...
Haya ya Mh. Kessy ni upeo wa fikra zake kushindwa kutafakari hatari na uzito wa jambo kama hilo atakalo lipitishwe na Bunge.

Katiba ipo sasa litafanyika hilo kwa vigezo vipi?
Kuna rejea wakati Salmin Amour alipotaka kufanya kama hili naamini viongozi wetu wanajua CCM ilichukua hatua gani.

Katiba ya nchi si kitu cha kuchezewa na matukio ya nyakati kwani viongozi wanapita lakini taifa ni lenye kudumu na kuishi nje ya nyakati na misimu.

Kwa upande mwingine unaweza kusema haya ya kuingia ndani ya katiba na kukata kipande kikawekwa kingine ni matatizo ya Afrika kwa uchanga wake. Haya yote yanaingia katika mifano mingi ambayo Afrika imeshuhudia.

Afrika chaguzi zake zina shutuma nyingi za wizi wa kura, hila na udanganyifu.

Haya ni sehemu ya chaguzi zake achilia mbali matumizi ya vyombo vya dola kuiba kura na kuzuia baadhi ya wananchi wasipige kura kwa hofu ya kushindwa.

Afrika sanduku la kura limegeuka kuwa jinamizi la kutisha viongozi waliopo madarakani.
Sasa serikali inayoingia madarakani kwa mtindo huu itakuwa na uhalali upi?

Serikali za namna hii ni nyingi sana Afrika.

Ikiwa hii ndiyo hali iliyoko Afrika si tabu kuelewa fikra za wabunge wake zitakuwaje iwe hapa kwetu nchi jirani au mbali na sisi.

Katika mazingira kama haya haiwezi kuwa kitu cha ajabu kwa wabunge kuja na hoja ya kujiimarisha zaidi madarakani kwa kupitia njia zilizo kinyume na kitu kinachoitwa "common good," yaani kufanya yale yenye manufaa kwa wote.

Lakini ukiangalia historia ya dunia utakuta kuwa nchi nyingi zimepitia hali kama hii.
Imani ya wataalamu wa siasa ni kuwa hiki kipindi kitapita na iko siku Afrika haitakuwa kichekesho cha dunia.
 



"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).

Spika Ndugai ajibu hivi

“Mheshimiwa Keissy ngoja twende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Kessy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai

Huyu dawa yake kumrudisha kwao Yemen tu
FB_IMG_1591817966961.jpg
 
[emoji116][emoji116]Tatizo lililopo co kumtukuza Magu bali hakuna mwenye uthubutu wa Magu kwa kipindi hiki, urais c wa kujaribu jaribu mzee, tumwache huyu mzee ainyooshe hii nchi kwa miaka mingine 15 zen tumwache aende cz kwa kasi hii hope tutakuwa vzr sn, tuache mambo ya siasa hazitatusaidia, co lazima kila mtu awe rais japo kila mtz ana haki kimsingi kuwa rais wa JMT.
Mkuu akili ako inakutosha wewe na familia yako tu. Yaan kuwa baba wa familia. Huwezi hata kuwa mwenyekiti maana huyu anaongoza kijiji. Vitu vidogo vidogo vinakuridhisha nakutaka katiba ivunjwe iwe kuongoza ni 15 years jaribu kufikiri kwa nn muda wa urais uliwekwa only 10 years. Kama hao waliopita wangeoza muda sidhanj hata magu kama leo hii angekuwa rais
 
Kama Rais wetu angekua makini hawa ni watu wa kuchinjia mbali. Huyu Mzee hafai kabisa na uchawi unamnyemelea. Mara zote hutukana wazanzibari na kutishia muungano wetu. Baba Mungu tujibie kwa hivi vichawi kama Burundi.
 
Back
Top Bottom