Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Aongeze misharaha kwa kishindo uone atakavyoungwa mkono na makundi yote
 
Raisi kesharudia zaidi ya mara tano bagonza anzisha kampeni ya kuvaa barakoa hayo mengine yaache tu!
 
Hao Mzee Baba ndio nguzo yake ya kubadili katiba,wao kazi yao wanaandikiwa maneno ya kusema na watapewa nafasi ya kuchangia sana huku kibindoni wakipewa 10m za asante.....Mpeni semina Injinia wa Finance maana ni mweupe sana bwashee.
Babu Tale hana ushawishi na ile " nyota " aliyoitanguliza ni kama inamgomea hivi ndio maana haishi kulia!
 
Ha ha ha ha sisemi chochote ng'oo!! Sauti ya wabunge ni sauti ya wananchi na Mimi nipo kwa ajili ya wanachi
 
Mwelekeo ni uleule. Ulianzia uchafuzi wa serikali za mitaa. Ukafuatiwa na uchafuzi mkuu. Na unahitimishwa na kubadili katiba kuhusu ukomo wa rais. Atake asitake, ila mhusika anataka sana. Penye nia kuna njia.
 
Msimamo wapi wewe ,kashaandaa watu wa Kupiga PRAKATATUMBA za kutaka kumuongezea ,yeye yupo behind the scene!!
The truth is: He is not reliable, credible, and cannot be trusted. Where is the 5 mil to every village he promised? Where are the free and fair elections he promised to the Tanzanians and the international community?
Let's wait to see.
 
Hao Mzee Baba ndio nguzo yake ya kubadili katiba,wao kazi yao wanaandikiwa maneno ya kusema na watapewa nafasi ya kuchangia sana huku kibindoni wakipewa 10m za asante.....Mpeni semina Injinia wa Finance maana ni mweupe sana bwashee.
Hivi hata darasa la saba amefika huyu Tale, maana ile zero brain kabisaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…