Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Bado hadi hii leo wanampigania ili kumuongezea Muda.

Kweli mtu mpumbavu hata ukimtwanga kwenye kinu na mchi ukaweka na maji, upumbavu wake hautomtoka.
Utamjua kwenye shida.
Akili zake zinaendeshwa na Tumbo.
 
Mchakato wa kubadili katiba tumechelewa sana kumuongezea Muda.
 
Back
Top Bottom