Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwetu nkasi tunamwita ALI MABODIAlly kessy sijui anapiga mishe gani sahvi
Ova
Jamaa anafanya mishe gani? Ana 'siti' kwenye chama?Huku kwetu nkasi tunamwita ALI MABODI
Pimbi wewe . Kamfufue uzikwe wewe.Rais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa
.... hatari sana.Aongezewe muda, Atake Asitake.
Atawale hadi Kifo chake.
Na ndivyo ilivyokuwa. Ni Raisi wa kwanza wa JMT kutawala katika cheo chake hadi Umauti ulipomwita.
Huyu Israeli Huyu ni Noma Sana
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Spika Ndugai ajibu hivi
“Mheshimiwa Keissy ngoja twende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Kessy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
Wewe ni mbunge wa wapi?Demokrasia yetu ina matobo kweli Mh Kessy anaongea kwa kujiamini "sisi wabunge ndio tuna mamlaka ya kubadili katiba kuwezesha Rais kuongezewa muda" yaani wananchi si lolote si chochote but wao.
Kwa hiyo wewe una akili sana!Yes tunaweza kusema asiongezewe muda. Na hata yeye hana mpango huo. Ila lazima tukubali. Magufuli ndiye rais bora africa kwa sasa. Na ndiye rais maarufu africa kwa sana. Na ndiye rais mwenye akili nyingi sana africa. Hilo halina ubishi. Binafsi namwamini sana. Maana kila anachokisema ni kama huwa anasema na akili yangu, kila uamuzi anaouchukua huwa kama ameingia kichwani kwangu akajua nlitamani afanye vile
Tupe mapendekezo ya kupata wajum e wa tume huru. Wanapatikana kwa njia gani ili wasiegamie Yanga au Simba.Ondoeni ukomo ila wekeni tume huru ya uchaguzi. Hapo hakuna atakayelalamika
Tupe mapendekezo ya kupata wajum e wa tume huru. Wanapatikana kwa njia gani ili wasiegamie Yanga au Simba.