Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ajabu sana, watu wamezubaishwa na wamekubali kuzubaa haswaa, kila siku wanapigiwa ngoma ya ukabila wao ni kukata viuno tu, wakija kushtuka close to 2025 ndio waanze kuimba Katiba Mpya.
Wapo busy kumtukana Magufuli
Wanapambana na Marehemu...kuanzia yule kiongozi wao naona hawajitambui.
 
Kwa hiyo unamponda aliyepigiwa debe au waliokuwa wapiga debe?
 
Tunamtukana mtu mfu Ili dhambi yake iwaumize ndugu zake na waone kuaibishwa kwao.

Mchuma janga hula na wakwao.

Wakati wa campaign 2020 eneo la msata nilimuona alikuwa ameisha sans kachoka maana na ukimwi alikuwa nao.

Sasa watu waliambiwa waweke ulinzi imara mpaka mapori ya mto wami akafika kihangaiko amechoka.

Tukaendelea kuomba mungu amuondoe haraka.

Ndani ya siku 90 maombi yakajibiwa.

Tulikuwa na rais wa hovyo sana yaani aibu.
 
Sasa mtu alishadanja bado unamfuatilia wa nini? Ulikuwa wapi kuleta hii mada wakati wa kampeni?
 
JPM bado anaishi mpaka sasa.kila leo anatajwa tu.
 
Hii ndio tafsiri halisi ya kufilisika kihoja😅 na kisiasa! Mnaendesha kampeni dhidi ya marehemu
Well, wewe unachofanya nini sasa au haujui maana ya kampeini🤣🤣

You are accusing people of the same sin you are committing. The only difference is that you don't know while the accused know their mission which is not about the person but his government wrong doings and holding it accountable for what they did. The other part is to build a case from his governance to justify the need for transformational changes.

Yours is just mere cries of Marehemu, Marehemu........ What has Marehemu to do with us? Hopeless arguments 🥲🥲
 
Simple minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.

Mngejikita kubadilisha katiba na tume ya uchaguzi, labda mngezuia kupata Magufuli mwingine.

Sasa hivi mnamtukana Magufuli mfu, wakati Samia anawapiga mabao.

Mikutano ya hadhara mmenyimwa, katiba mpya mmenyimwa, tume huru mmenyimwa, watu bado wanatekwa.

SMH.
 
We ni mufilisi
 
Ni kweli Magufuli alikuwa Sadist kiuhalisia. Na tunaomfahamu tangu ujana wake tulishangaa kupewa nafasi kubwa ya kuamua hatima ya maisha ya watu. Tulijua lazima ataumiza, ataua, atafunga, atapoteza watu. Lakini ya kwake yameisha hawezi kufanya tena.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Lissu alisema ni gari ya mkaa, tripu shamba tripu garage
 
Acha kukariri weweee...... elewa falsafa ya unachonukuu sio kusema tu kisa umesikia au kusoma mahali.

Ideas originate and get defined by people.......

We invent,discuss and learn new ideas through people. No idea that just come from the air.

We discuss people in connection to the greatness and impact of their ideas. We discuss Lincoln, Plato, Archmedes, Mwl. Nyerere, Mzee Madiba etc. not as people but great sources of developmental ideas and adapt their creative thinking to transform generations and advance our living with or into new ways.

Open up your mind to learn from the learned, stop cramming the writings....
 
Ukisema Magufuli was a walking carcass umemdiscuss Magufuli in connection with idea gani sasa hapo?

Vitriolic hate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…