Tatizo mimi naona labda kuna watu wengi wamechotwa akili na propaganda za Magufuki, wanampenda Magufuli, na wapinzani hawapendi hilo, wanaona bado kuna vita na mfu ambaye ana influnce watu bado.
Na katikanm kufanya vita hivyo, wanamfufua Magufuli, wanampa nguvu zaidi, wanampa uhai hata baada ya kufa.
The law of unintended consequences ina apply hapa.
Mtu anaona anamsema vibaya Magufuli, anamtukana, kumbe kwa kumtukana vile mfu, ndiyo anajionesha hana hoja, anajionesha Magufuli kamkera sana, anajiinesha kwamba he can't get over Magufuli even when Magufuli is dead for over a year. Anajionesha asivyo na mental fortitude. Anajionesha asivyo na mental fortitude.
Watu wasio wa sophistication wanaona huyu Magufuli ana nguvu kama jini.
Hata baada ya kufa wapinzani wake hawaishi kumtaja.
Watu walio na sophistication wanaona hawa wapinzani wanashindwa ku focus kwenye mambo ya kitaasisi kama katiba mpya, wanaangalia mtu bado mpaka leo.
In the final analysis, matusi dhidi ya Magufuli yana backfire.
Yanampandisha chart Magufuli, na kuwashusha wanaomtukana.