Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Binadamu wote ili mradi unaishi ni walking carcass, maana wote njia yetu ni kifo tunatofautiana zamu tu za kutangulia.......kiburi cha uzima kisikupofushe ukaongea kufuru.
 
Kiranga nawe umeingia kwenye mkondo wa muanzisha uzi.
Punguza hasira kaka.
"Vifulambute na vinukamkojo" ni nini ndugu?
 
Angalieni hapa picha za aliyekuwa anapigiwa debe, namuona kama kwa mwaka 2020 alikuwa tayari ni walking carcass;
Hichi unachokifanya hapa si uungwana hata kidogo, acha kumdhalilisha Marehemu.

..Grow up....
 

Huna akili binti kijana
 
Mkuu, na wala usiamini kamwe kwamba kufa kwa mtu ndio mwisho wa influence yake. Wanaomtukana Magufuli ni watu sophisticated and they know what they are doing.

Nguvu ya Magufuli ni pamoja na sacrifices zake kwa nchi hii na hizo ndizo zinazomfanya abaki kwenye airtime iwe kwa sisi tuliomkubali au kwa hao waliomkataa. His legacy is here yo stay!
 
Magufuli alikuwa walking carcass. Yaani ngozi ilikuwa na mabaka kama mtu mwenye herpes zoster, huku akiwa na UKIMWI halafu mentally disturbed. Angeponaje na COVID-19?? Angalia alivyozungukwa na ma ACs hapo
mabaka unadanganya mkuu
 
Magufuli alikuwa walking carcass. Yaani ngozi ilikuwa na mabaka kama mtu mwenye herpes zoster, huku akiwa na UKIMWI halafu mentally disturbed. Angeponaje na COVID-19?? Angalia alivyozungukwa na ma ACs hapo

AC inaponya COVID19 au kusaidia kuituliza? Walking dead mentally
 

Man!!!🤣🤣🤣, umenifanya siku yangu ikaenda poa sana!!

Hayataisha haki, yanaisha kirahisi tu hivi kisa mtu ulikuwa tu na maslahi binafsi ya upendeleo kila mtu akubaliane na wewe tu, wakati watu wengi waliumizwa!

Kuna watu wamekuja eti na Umoja Party wa Magufuli, wamefeli sana kwa kweli😅😅😅!
 

Subiri 2025 hutaibiwa kura bwa shee
 
What a brainless idiot in you? Is a dead man reaping anything? What are your insults doing to him. If at all you couldn't criticise him while he still was alive, then what impact on him will your critics have?
You heedless fools are so much disgusting and nauseating. We've national important things to focus on rather than discussing a person who can neither wake up and defend himself nor change whatever the bad he did.
He created hate to our county, let him reap the fruits of what he created through you his followers and
 
Simple fact
Ukiwakataza watu kusema mabaya yako ukiwa hai"
Watayasema (without time frame) vibaya ukiwa marehemu
.. haihitaji rocket science to understand this...

Kiranga' hapa umechemka .
 
Sasa mbona kama jamaa amefuta ile comment. Sijapenda.
 
Sasa hayo ma Air Condition ya nini kwenye mkutano wa wazi? Tumezowea kuyakuta maofsini kule kwenye majengo ya TRA, PSSSF na Bandari.

Hakika huyu alikuwa trip shamba trip garage. Asingekatiza kwa COVID 19
Kuna Mengi Sana
 
Mkuu, jiwe is a fair game.
Let it be.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…