Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Hivi wewe unajikutaga nani kwenye hii forum?Most Tanzanians political discussions, at least on JF, are crude, tribal and unsophisticated.
Hatujavuka maongezi ya mavi mavi tu.
Nuance is a rare commodity.
Yani kujua kwamba unaweza kutokubaliana na Magufuli na wapambe wake, lakini kumuita mtu "walking carcass" ni lack of savoir faire ni mtihani.
We ona mpaka kiongozi wa kitaifa wa upinzani Zitto Kabwe anasema wafuasi wa Magufuli wakazikwe naye Chato.
I am asking, did Magufuli frustrate you guys this much? If yes, what does that say about your mental fortitude? If no, why the stupid vitriolic bile?
Huyo Zitto ndiye kiongozi wa chama wa taifa.
Hawa vifulambute na vinukamkojo wa JF unategemea nini?
Kudadadeki zako chagua mdole ✋