Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Tukisema watanzania hatuna shukrani kwa Mungu, tutakosea? Hebu tuepuke laana hizi. Kwani ukiacha utapungukiwa na ninini?
 
U
Kati yenu mnayemlalamikia mfu na mimi ninayewaambia mambo ya kubadili taasisi nani analialia?

Endeleeni hivi hivi, CCM watawatawala mpaka mfe na watoto zenu nao wakiendelea hivi watatawaliwa hivyo hivyo.

Mark
Nadhani shida sio ccm kutawala shida ni viongozi wapuuzi wa haki za raia na katiba. Hawa lazina wasemwe, wabagazwe, wajihisi vibaya ila kama wamekufa watumiwe kama reference.
Shida yako ni nini hapo?
 
Are you sure hatujawahi fiwa?
What about those Magufuli killed and others in bags at beaches?
Ninyi ndio mna machungu sana?
So kuisema Maiti left right center inatusaidia nini,ndugu zetu walipass lakini pia hawakua Malaika,je watu wakishinda wamewatusi mtajiskiaje.

Tazameni sana yawatokayo,yanakuja na madhara yake,naamini hata wewe ni kijana mdogo,haitakusaidia.

Magufuli ameshahukumiwa kwa matendo yake,na MUNGU ndio final judge,alipo ni mahali sahihi kama Kuna mabaya MUNGU ajua yote.

MUNGU hataki tuhukumu,mbona mmegeuka wahukumu?
 
Takataka
 
You claim to have national important things and still you come here,read my post and write a reply. If you think I am brainless idiot then you are boombclaat
 
Jiwe was not immortal,he passed just like anybody else
 
Mwambie huyo zitto akazikwe pembeni ya kaburi la mamake si alimpenda sana?
 
Inaamaana kikwete hana baya hata moja au ndio vita ya team msoga na sukuma gang inaendelea.
 
Kigogo2014 alikuwa anamtukana Jiwe matusi ya nguoni kwa sababu ya kubomolewa nyumba yake!
 
Pengine watu wanataka viongozi waliopo sasa waone haja ya kuepuka hili analokipata huyu akiwa mfu
 
At the end of the day he was dust and unto dust he returned.

We are all dust, we have no right to mock each other to that extent let alone those who have passed on no matter how hateful we are trying to be.

Unto dust we shall return, lest we forget that we are not immortal.
 
Pengine watu wanataka viongozi waliopo sasa waone haja ya kuepuka hili analokipata huyu akiwa mfu
But hawaskii,unless mnataka kuumiza Mama Janeth na familia yake.
Huyu Mama wa watu hata kuongea hajui,alikeep low profile mme wake akiwa Rais,very humble,ndio mnataka askie vibaya?
 
Binafsi hata mimi nimeshangazwa na maneno ya kifedhuli ya Zitto Kabwe kwa wafuasi wa Magufuli. Wakati kiukweli Zitto hajaumizwa kuliko alivyoumizwa Lissu, Mbowe ,Lema au hata Mdude. Lakini hao wote hawajatoa kauli za kifedhuli za Zitto ambaye alipiga kimya wenzake wakisulubiwa.
 
M
Hii ni project maalumu bwashee!

Wiki ijayo mafuta yanapanda tena bei hivyo Zitto anaanzisha mijadala ya " danganya toto"
Mafuta yanapanda au yatapanda kwa kuwa muda mrefu serikali haikushughulikia ipasavyo utafutaji,uchimbaji wa nishati hiyo.Hata pale mafuta yalipokuwa yana bei ya chini hatukuweza kununua mafuta ya akiba ndefu,na wala hatuna matenki ya kuhifadhi mafuta angalau ya matumizi wa mwaka mmoja.
Sasa tunakumbuka shaka asubuhi.
Nishati ndio priority ya nchi zinazojitambua.
 
Piganeni na maiti hivihivi.

2025 mnapigwa bao tena.
Kwani wanaompinga Magufuli ni wapinzani!? Bulembo mpinzani?, Makamba mpinzani!? Samia anayeponda falsafa za Magufuli ni mpinzani!? Nape mpinzani!? Wapinzani wa Magufuli wa kweli ni wenzake wa ccm waliokuwa wanangoja afariki, chama kirudi kwa wenye nacho kama Nape alivyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…