Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ila hata marehemu Magufuli naye alimletea kiburi cha uzima Bwana Lowassa. Kule Tume ya Uchaguzi alijigamba yeye alipanda ngazi wakati Lowassa alitumia lifti. Jukwaani alikuwa anapiga push ups kuonesha yeye alikuwa fit (ana afya bora) kuliko Lowassa. Kile kilikuwa kiburi cha afya.
Sawa.

Magufuli alikuwa na kiburi cha afya kuwasema wengine. Hiki ni kitu kibaya.

Sasa, na sisi tunajifunza nini kwa Magufuli kuwa na kiburi hicho cha afya?

Tunajifunza kwamba hili ni jambo baya na kuliacha?

Au tunakosa kujifunza kutokana na mabaya ya Magufuli, na tunarudia kiburi kile kile cha afya cha Magufuli kumsema kwamba "Magufuli was a walking carcass"?

Kwani kuna mtu ambaye hatakufa?
 
Tunajua unaishi ughaibuni, tunajua unajua kiingereza sana. Lakini kwa nini unatumia vimaneno vigumu sana?

Lengo la lugha ni mawasiliano.

Badilika mkuu
Hapo ndiyo nimejaribu kutumia maneno rahisi zaidi.

Labda tatizo si kuwa mimi natumia maneno magumu, ila wewe hujui maneno rahisi kabisa ya Kiingereza.

Neno gumu ni lipi hapo? Litaje tulichambue.

Na kama unaona neno hilo ni gumu, unawezaje kusoma academic papers, The Economist, Time Magazine, Newsweek, The New Scientists, Libgen etc.

Yani wewe una tatizo la kutojua Kiingereza rahisi tu cha ESL, halafu, lawamu unipe mimi?
 
"Hapo ndiyo nimejaribu kutumia maneno rahisi zaidi.

Labda tatizo si kuwa mimi natumia maneno magumu, ila wewe hujui maneno rahisi kabisa ya Kiingereza."

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Pep baba,Njoo umuone Kiranga anaupiga mkubwa huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa.

Magufuli alikuwa na kiburi cha afya kuwasema wengine. Hiki ni kitu kibaya.

Sasa, na sisi tunajifunza nini kwa Magufuli kuwa na kiburi hicho cha afya?

Tunajifunza kwamba hili ni jambo baya na kuliacha?

Au tunakosa kujifunza kutokana na mabaya ya Magufuli, na tunarudia kiburi kile kile cha afya cha Magufuli kumsema kwamba "Magufuli was a walking carcass"?

Kwani kuna mtu ambaye hatakufa?
[emoji122][emoji122]
 
Hata mimi siungi mkono hayo maneno ya kisema "walking carcas", ni maneno ya kifedhuli, . Ndio maana hata kauli ya Zitto kwa wafuasi wa Magufuli nayo ni ya kishenzi sana kutolewa na kiongozi mkubwa wa chama cha siasa tena ambaye hakupata misukosuko mingi kama wale wa ChaDeMa.
 
Hebu MPUMZISHENI!Leta hoja zenye tija kwa taifa kwa Sasa.
 
Tunajua unaishi ughaibuni, tunajua unajua kiingereza sana. Lakini kwa nini unatumia vimaneno vigumu sana?

Lengo la lugha ni mawasiliano.

Badilika mkuu
Hapo kuna vijineno ilibidi nipige chabo Google.
 
Kwasababu ya kumsemar binadamu....hii ndiyo tofauti yangu na wewe...hata angemsema baba yako au adui wa baba yako ningeandika hivyo tu.
Hujawahi kabisa kumsema binadamu mkuu?
 
Kati yenu mnayemlalamikia mfu na mimi ninayewaambia mambo ya kubadili taasisi nani analialia?

Endeleeni hivi hivi, CCM watawatawala mpaka mfe na watoto zenu nao wakiendelea hivi watatawaliwa hivyo hivyo.

Mark my words.
we kkahaba, wageukie na wanaomsifia dikteta uwambie pia waache kumtukuza kashakufa, punguani wewe!
Mi kuna mshkaji wangu kafia jela sababu ya huyo kiumbe, Kisa Cha kijinga tu
 
Mtoa mada ukute unaamini uwepo wa Mungu,aither wewe Ni Muislam au Mkristo,Ila andiko lako limejaa ukakasi na ukosefu wa utu na busara...Ila Nimeshangazwa na comments za Kiranga mtu mnaemshambulia kuwa Ni mpagani hamuamini Mungu Ila hoja zake zimejaa busara,heshima na Utu...Hebu sie waamini tujitafakari jamani
 
Hata mimi siungi mkono hayo maneno ya kisema "walking carcas", ni maneno ya kifedhuli, . Ndio maana hata kauli ya Zitto kwa wafuasi wa Magufuli nayo ni ya kishenzi sana kutolewa na kiongozi mkubwa wa chama cha siasa tena ambaye hakupata misukosuko mingi kama wale wa ChaDeMa.
Kwa nini haya mambo mimi na wewe tunakuwa na urahisi kuelewa, lakini kuna watu wanakuwa wagumu sana kuelewa?

Kuna siku nilikuwa namsikiliza Tundu Lissu, mtu ambaye kama kuna mtu ana haki kuisema vibaya serikali ya Magufuli, na kumtukana Magufuli, basi yeye ana haki hiyo.

N amahojiano haya yalikuwa baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi na kuhamia Ubelgiji. Hii ilikuwa wakati wa ziara ya Tundu Lissu Marekani.

Alilulizwa, nafikiri aliulizwa na Mubelwa Bandio, Mtanzania anayeishi Marekani na kufanya shughuli za habari.

Bandio alimuuliza Tundu Lissu, je una chuki binafsi na Magufuli?

Tundu Lissu alijieleza vizuri sana kwamba, hana matatizo binafsi na Magufuli, in fact kibinafsi wana mahusiano mazuri tu. Matatizo yake ni ya kitaasisi/kifalsafa zaidi.

Nikaona kwamba, katika hili, Tundu Lissu ameweza kuvuka kiunzi, amejua kutofautisha tofauti za kifalsafa na za kibinafsi. Na kwamba, licha ya ukweli kwamba inawezekana kapigwa risasi na serikali, ameweza ku focus kwenye mambo ya kitaasisi, hata kwenye hilo la kupigwa risasi.

Ndiyo maana hiyo point yako ya kwamba watu wanajibwatukia kuliko wale waliopata misukosuko zaidi ni ya muhimu sana.

Bootom line.

In economics, there is opportunity cost. Even if you have all the money in the world, you don't have all the time in the world.

So, you have to make choices.

Do you want to beat over a dead Magufuli in a non inpactful or even counterproductive way?

Or do you want to make institutional changes to prevent another Magufuli happening?

Watu wengi hawajaelewa hii hesabu.

Wwanaenda kwa jazba.
 
Kwakuwa analitetea dikteta msukuma mwenzio, ndio kakufurahishaa bibie naona hapo Chhupi imeloa ute kwa furahaa
Kiranga tangu nimeanza kumsoma hajawahi kuwa mfuasi wa Magufuli.

Hebu jaribu kumsoma uelewe basi,acha mambo ya kiwaki,mimi ni mtu wa Mbeya na siyo msukuma.
 
Mtoa mada ukute unaamini uwepo wa Mungu,aither wewe Ni Muislam au Mkristo,Ila andiko lako limejaa ukakasi na ukosefu wa utu na busara...Ila Nimeshangazwa na comments za Kiranga mtu mnaemshambulia kuwa Ni mpagani hamuamini Mungu Ila hoja zake zimejaa busara,heshima na Utu...Hebu sie waamini tujitafakari jamani
Hawa atheists wametupiga gap parefu tu..
Kiwango Chao cha busara na ustaarabu kwenye mambo mengi kipo juu.

Ila sisi sasa tunaojidai tunamjua Mungu ndio tunaongoza kwa upumbavu humu duniani.
 
Back
Top Bottom