Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Hata baada ya Lissu kumpiga risasi 38 na kumfanya kuwa out of service mliendelea kumsema! Na asemwe tu mpaka mizimu imuulize alifanya nini huku.
 
Mkuu,

Nimeandika ina very nuanced way kwamba sina tatizo na kumkemea mfu, nina vitabu vinavyokemea matendo ya Caligula,Hitler, Stalin, Pol Pot, Idi Amin etc.

Hiyo si issue.

Tatizo unamkemeaje? Kwa namna ya kufundisha kujenga misingi bora kitaasisi?

Au kwa matusi ya jumla jumla yasiyo na tija na ambayo yanaweza kuwa na unintended consequences kama kusema "Magufuli was a walking cadaver" au "Wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato"?
 
Most people are frustrated and lash out emotionally without a plan.

Sadly, this emotional lashing out (e.g Magufuli was a walking cadaver, wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato etc) is generating unintended consequences.

The people lashing out are in an echo chamber of preaching to the converted.

Most people sitting on the face, or on the side of Magufulism, will not be won over by this rhetoric. They may even chalk it as uncouth, uncultured and unsophisticated. Wwhich will not be wrong.

Even as Magufuli was barbaric.

When you fight barbarism with barbarism, you lose the more high ground.

Also, obsessing over Magufuli while Samia is continuing the same things is giving Samia free range.

I can see why CCM keep winning elections (fairly or not) year in, year out.
 
Carcass (the dead body of an animal) kwa kiswahili inamaanisha maiti ya mnyama. (Mzoga)

Hakuna binadamu aliyekamilika chini ya jua. Kila mtu ana madhaifu yake. Magufuli nae kama binadamu wengine alikua na mazuri na madhaifu yake pia. Hili lisisahaulike.

Kumuita mtu mzoga unaotembea eti kisa hukufurahishwa na aliyoyatenda, unavuka mipaka.
 
Wwapi nimemtetea Magufuli?

Unajua kusoma kwa ufahamu?
 
Hili jambo muhimu sana... nuance hakuna kabisa, watu ni kuhemkwa tu, na kudandia headlines bila kuwa na indepth analysis ya issues.
Bora na wewe umeona mkuu.

Inafika wakati mtu unaona kabisa hapa hatuwezi kuwa na mjadala constructive.

Watu wanakwenda kwa Pavlovian reflex action badala ya kufikiri kimantiki.

Yani hata huyo mbwa ukimtupia nyama yenye sumu anaweza kuinusanusa kwanza.
 
Wakiweka kivuri chake nitakipigia debe kila kona na nina hakika kitashinda kura kuliko hawa binadamu walio hai
 
Samahani kama uhusiki lakini ni yule wanaccm waliyesema mgonjwa anaji.... atatufia ikulu na maneno mengine mengi.
Mimi simo katika ma vyama yao hayo.

Niliitwa kukutana na Kikwete nikakataa.Niliombwa mchango na CHADEMA nikakataa.

Two wrongs do not make a right.

Kama Rwanda wameuana mauaji ya kimbari basi na sisi tuuane? Kwa sababu Rwanda waliuana?
 
Sisi hatuna cha kujifunza kwa mtu mwenye kiburi zaidi ya ku REVENGE. Na revenge imefanikiwa hata kama yeye ameshakufa. Maana wafuasi wake wachache humu including Kiranga tunaona mlivyokasirika.

Kadri mnavyokasirika na sisi tunaongeza makali
You do not posses the required wattage to make me angry, furthermore, because of your apish low energy thinking, even when I sneeze by reflex action, you would think I am angry.

Wewe kaa na stupid priorities za kumkasirisha Kiranga. Wenzako wanapanga mkakati wa kukutawala wewe mpaka wajukuu wa wajukuu zako.

Ushasikia Makongoro kasema kapewa cheo si kwa lolote alilofanya, bali kwa sababu ni mtoto wa rais wa zamani?

Na watu wakamshangilia!

Basi mwendo utakuwa huo huo, familia za Nyerere, Mwinyi, Mkapa,Kikwete, Magufuli,Samia, Makamba, Nnauye etc, zitazidi kukutawala wewe mbuzi maji.

While you are beating over a dead body as a keyboard warrior.
 
Wanaomsema wanaamini nyinyi watu kama kiranga ambao mlionyesha wazi kutopendezwa na baadhi ya tabia zake mnafurahishwa na upuuzi wanaoufanya kwa sasa.

Fikiria mtu aina hii unakaa naye kundi moja katika kumkosoa mtu😁😁😁,sisi wengine tuliwajua hawa mapema hawampendi magufuli sio wananchukia anayoyafanya.
 
Mimi tatizo langu ni hii lack of nuance.

Magufuli utawala wake sikuupenda, moja ya sababu sikuupenda ni kwamba Magufuli alikuwa na maneno ya ovyo ovyo.

Sasa mtu akija hapa anampinga Magufuli, kwa kutumia maneno ya ovyo ovyo kama ya Magufuli kwamba "Magufuli was a walking carcass", namuona kwamba hana tofauti na Magufuli.

Wote nawaona washenzi tu.
 
Kwa lugha uliyotumia psentence ya mwisho hauna tofauti na unaowasema hata huyo magufuli wako maana nae alikuwa na lugha za hovyo sana.
Tofauti yangu na wao ni kwamba naweza kuonesha ujinga wao kwa truth table logically, wakati wao hawawezi ku prove kwamba Magufuli was a walking carcass.

After all, carcasses do not walk.
 
Kumsema binadamu tena aliyekufa kutatusaidia nini katika maisha na maendeleo ya nchi?
Hivi wewe pimbi unajua umuhimu wa somo la historia?
Jiwe ameumiza watu! Wanamsema na wanamwaga nyongo humu. Waache! Kwani kinakuuma nini?
 
Hivi wewe pimbi unajua umuhimu wa somo la historia?
Jiwe ameumiza watu! Wanamsema na wanamwaga nyongo humu. Waache! Kwani kinakuuma nini?
Kwahiyo huu Uzi unafundisha somo la historia?
Hapa mpo kufundisha historia?
 
Mansubiri mtu mpaka afe ndiyo mumuandame?

What kind of cowards are you?
C' mon mkuu! Some of us are not cowards! Wasi wasi ndio akili.
Jamaa na wenzake walidhuluma haki ya watu kuishi! Mbona authorities like US department of State walikuwa wazi!
Acha kushambulia these immortals aisee. Acha waseme! Tulipita kipindi kigumu.
 
Peleka upumbavu huko. Hata haujielewi! Kha!
Tunamsoma Idd Amin, Mussolini na Hitler for a reason!
Acha watu waongee
Waongee ujinga?
Wewe ni dada au kaka??
Mbona una mdomo mchafu kama dampo la taka!??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…