Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Tumekusiikia Fisi maji. Hata ubadili Katiba itakuja tu clique nyingine ya kutawala kama hiyo na utadai maandano mengine ya kubadili Katiba.You do not posses the required wattage to make me angry, furthermore, because of your apish low energy thinking, even when I sneeze by reflex action, you would think I am angry.
Wewe kaa na stupid priorities za kumkasirisha Kiranga. Wenzako wanapanga mkakati wa kukutawala wewe mpaka wajukuu wa wajukuu zako.
Ushasikia Makongoro kasema kapewa cheo si kwa lolote alilofanya, bali kwa sababu ni mtoto wa rais wa zamani?
Na watu wakamshangilia!
Basi mwendo utakuwa huo huo, familia za Nyerere, Mwinyi, Mkapa,Kikwete, Magufuli,Samia, Makamba, Nnauye etc, zitazidi kukutawala wewe mbuzi maji.
While you are beating over a dead body as a keyboard warrior.
Mchakato wa Katiba Mpya ni mvutano ni kati ya CCM (walio madarakani) dhidi ya CHADEMA (wanaotaka kuingia madarakani).
Nyinyi Fisi maji mnatumika tu