Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

You do not posses the required wattage to make me angry, furthermore, because of your apish low energy thinking, even when I sneeze by reflex action, you would think I am angry.

Wewe kaa na stupid priorities za kumkasirisha Kiranga. Wenzako wanapanga mkakati wa kukutawala wewe mpaka wajukuu wa wajukuu zako.

Ushasikia Makongoro kasema kapewa cheo si kwa lolote alilofanya, bali kwa sababu ni mtoto wa rais wa zamani?

Na watu wakamshangilia!

Basi mwendo utakuwa huo huo, familia za Nyerere, Mwinyi, Mkapa,Kikwete, Magufuli,Samia, Makamba, Nnauye etc, zitazidi kukutawala wewe mbuzi maji.

While you are beating over a dead body as a keyboard warrior.
Tumekusiikia Fisi maji. Hata ubadili Katiba itakuja tu clique nyingine ya kutawala kama hiyo na utadai maandano mengine ya kubadili Katiba.

Mchakato wa Katiba Mpya ni mvutano ni kati ya CCM (walio madarakani) dhidi ya CHADEMA (wanaotaka kuingia madarakani).

Nyinyi Fisi maji mnatumika tu
 
Carcass (the dead body of an animal) kwa kiswahili inamaanisha maiti ya mnyama. (Mzoga)

Hakuna binadamu aliyekamilika chini ya jua. Kila mtu ana madhaifu yake. Magufuli nae kama binadamu wengine alikua na mazuri na madhaifu yake pia. Hili lisisahaulike.

Kumuita mtu mzoga unaotembea eti kisa hukufurahishwa na aliyoyatenda, unavuka mipaka.
Nani aliweka hiyo mipaka? Hivi alivyoamuru Lissu ashambuliwe kwa risasi 38 kisa anapinga kujitoa kiholela kwenye mikataba ya madini, anastahili heshima gani? Kama unamheshimu kazikwe naye Chato
 
Waongee ujinga?
Wewe ni dada au kaka??
Mbona una mdomo mchafu kama dampo la taka!??!
Eti mimi ni dada au kaka? Inahusu?
Ni kweli nina mdomo mchafu na wananijua humu!
Sasa endelea kunitafutia ban wewe pimbi! Nitakuwa banned, haina shida.

Jiwe alituumiza. Watu walikufa! Aliondoa mpaka fao la kujitoa halafu wewe unatetea ujinga.
Jiwe atashambuliwa dead or alive. And it is warranted, idiot!
 
Mimi nakutafutia ban au unajitafutia mwenyewe!

Punguza kimuhemuhe...sina muda wa kujibu wapumbavu kama wewe shostito.
 
Sasa mbona umenijibu. A typical crap!

Sasa tunaendelea kumshambulia jiwe na huna la kutufanya.
Mtamshambulia hadi vichwa vipande.
Ashajifia

Hata mimi na wewe tutakufa..ni suala la zamu na muda.

Upo nyonyo?
 
Mjadala constructive utakuja baada ya machungu ya watu kupoa.
#Haki, maridhiano na uwajibikaji.
Bora na wewe umeona mkuu.

Inafika wakati mtu unaona kabisa hapa hatuwezi kuwa na mjadala constructive.

Watu wanakwenda kwa Pavlovian reflex action badala ya kufikiri kimantiki.

Yani hata huyo mbwa ukimtupia nyama yenye sumu anaweza kuinusanusa kwanza.
 
Juzi watu wamedandia headlines za Mama Salma, nikasema ngoja nisikilize kaongea utopolo gani. To my surprise sikuona jambo baya alilosema, inawezekana asiwe a popular messenger, lakini hata hoja yake hatutaki kusikia! Na kuna watu unawaheshimu lakini jinsi wanavyodandia headlines unabaki kushangaa.

Taifa la watu wasiotaka kabisa kusikilizana ni taifa la hovyo kabisa. Ni watu wa kupinga pinga, wakibanwa waeleze why, wanaanza matusi.
 
Katika mambo mengi yaliyotawala mitandao ya jamii na Bunge mwaka 2020 ilikuwa ni kuongeza ukomo wa utawala kwenye katiba ili kumuwezesha Magufuli aende beyond 2025. Alisikika Ally Kesi mbunge wa Nkasi wa wakati huo akisema "apende asipende lazima tumuongeze muda". Na Spika Ndugai akamhakikishia Ally Kesi kurudi Bungeni na kuipokea hoja yake.

Angalieni hapa picha za aliyekuwa anapigiwa debe, namuona kama kwa mwaka 2020 alikuwa tayari ni walking carcass;
View attachment 2197587
Ninyi majizi na Punguani mnadhani siku moja hamtalamba udongo sio. Jpm alikuwa kiongozi, sio haya majizi yenu ya Leo. Nonsense
 
Carcass (the dead body of an animal) kwa kiswahili inamaanisha maiti ya mnyama. (Mzoga)

Hakuna binadamu aliyekamilika chini ya jua. Kila mtu ana madhaifu yake. Magufuli nae kama binadamu wengine alikua na mazuri na madhaifu yake pia. Hili lisisahaulike.

Kumuita mtu mzoga unaotembea eti kisa hukufurahishwa na aliyoyatenda, unavuka mipaka.

Huenda huko kumuita mnyama ndio hiyo hakuna binadamu aliyekamilika.
 
Mansubiri mtu mpaka afe ndiyo mumuandame?

What kind of cowards are you?

Unaweza kuwa uko sawa kwenye maelezo yako mengi, lakini hilo la kuandamwa baada ya kufa sio kweli. Huku mitandaoni Magufuli aliandamwa muda wote wa utawala wake hadi akafikia kutaka malaika washuke wafunge mitandao. Huenda baada ya mjadala kuwa mrefu na kukutana na watu wasioendana na matamanio yako, joto la mwili limepanda kidogo hadi kudhani ni baada ya kufa ndio anaandamwa.
 
Juzi watu wamedandia headlines za Mama Salma, nikasema ngoja nisikilize kaongea utopolo gani. To my surprise sikuona jambo baya alilosema, inawezekana asiwe a popular messenger, lakini hata hoja yake hatutaki kusikia! Na kuna watu unawaheshimu lakini jinsi wanavyodandia headlines unabaki kushangaa.

Taifa la watu wasiotaka kabisa kusikilizana ni taifa la hovyo kabisa. Ni watu wa kupinga pinga, wakibanwa waeleze why, wanaanza matusi.
Uko sahihi sana mkuu, je ww kwenye huo mjadala wa mama Salma ulichangia nini? Au na ww uliishia kukasirika watu walivyokuwa wanajadili? Unavyosema hapa inakuwa kama huo mjadala hakukuwa na mitazamo tofauti, bali ni hiyo negative tu uliyoiona?!
 
Mkuu,

Nimeandika ina very nuanced way kwamba sina tatizo na kumkemea mfu, nina vitabu vinavyokemea matendo ya Caligula,Hitler, Stalin, Pol Pot, Idi Amin etc.

Hiyo si issue.

Tatizo unamkemeaje? Kwa namna ya kufundisha kujenga misingi bora kitaasisi?

Au kwa matusi ya jumla jumla yasiyo na tija na ambayo yanaweza kuwa na unintended consequences kama kusema "Magufuli was a walking cadaver" au "Wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato"?
Jana kwenye shughuri yetu baba mchungaji alituambia kuwa kila mtu ni marehemu mtarajiwa (mfu atembeaye) kama ambavyo pua zetu zinavyoelekea zikiinusa ardhi! Je, tuanze kuwakemea hawa wachungaji?
 
Mkuu,

Hata mimi Magufuli sikumpenda, utawala wake sikuupenda.

Na bado naweza kuwa nuanced enough kuona habari za kumuita Magufuli "walking carcass" si tu hazina tija, bali pia zinaonesha frustrations. Ni kama habari za mtu ana hasira halafu hajui cha kufanya zaidi ya kuitukana maiti.

Hivyo, si kika anay3k3mea lugha hizi ni mfuasi wa Magufuli. Tuch3 hizi siasa simplistic za kukisa n8ance za kusema mtu akikemea ujinga wa lugha chafu dhidi ya Magufuki, basi ni mfuasi wa Magufuli.

Mimi naweza kuwa sijamkubali Magufuli na sikubali lugha chafu zisizo na tija dhidi yake, hususan sasa ambapo ameshafariki.

Ningewaona hawa watu wa maana sana kama wangejikita kuwa na katiba mpya itakayopunguza madaraka ya rais ili ujinga wa utawala wa Magufuli usijirudie.

Kumtukana mtu aliyekwishajifia zake hakusaidii kitu.

Zaidi, kunatupa maswali tu kwa nini huyu mtu anamtukana mtu ambaye hana influence mpya tena katika jamii?

Unataka kupigana na maiti ya Magufuli?
Huwezi kumpangia mtu namna ya kuhisi na kufiri.

Wengine namna yao kutoa sumu moyoni ni kwa njia ya kuusema uovu waliotendewa hata kama mtu huyo hayupo.

Kueleza ubaya wa jiwe ni moja ya njia ya kusema kwamba hatutaki matendo yale yaje yajirudie.

Kila mtu anavuna alichokipanda awe hai au awe ahera
 
Ni hivi, kuna kifeni fulani kakukata upepo hapo pembeni ya jiwe
Kiongozi wa malaika alikuwa anatembea na feni. Nikikumbuka zile push-ups za kumbeza Lowassa, ndio naamini kweli Mungu hadhihakiwi...
 
Kiongozi wa malaika alikuwa anatembea na feni. Nikikumbuka zile push-ups za kumbeza Lowassa, ndio naamini kweli Mungu hadhihakiwi...
Tuombe tu uzima. Mambo ya kujiona una maisha marefu kuliko mwingine ni sawa na kumpangia Mungu
 
Back
Top Bottom