Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Tumekusiikia Fisi maji. Hata ubadili Katiba itakuja tu clique nyingine ya kutawala kama hiyo na utadai maandano mengine ya kubadili Katiba.

Mchakato wa Katiba Mpya ni mvutano ni kati ya CCM (walio madarakani) dhidi ya CHADEMA (wanaotaka kuingia madarakani).

Nyinyi Fisi maji mnatumika tu
 
Nani aliweka hiyo mipaka? Hivi alivyoamuru Lissu ashambuliwe kwa risasi 38 kisa anapinga kujitoa kiholela kwenye mikataba ya madini, anastahili heshima gani? Kama unamheshimu kazikwe naye Chato
 
Waongee ujinga?
Wewe ni dada au kaka??
Mbona una mdomo mchafu kama dampo la taka!??!
Eti mimi ni dada au kaka? Inahusu?
Ni kweli nina mdomo mchafu na wananijua humu!
Sasa endelea kunitafutia ban wewe pimbi! Nitakuwa banned, haina shida.

Jiwe alituumiza. Watu walikufa! Aliondoa mpaka fao la kujitoa halafu wewe unatetea ujinga.
Jiwe atashambuliwa dead or alive. And it is warranted, idiot!
 
Mimi nakutafutia ban au unajitafutia mwenyewe!

Punguza kimuhemuhe...sina muda wa kujibu wapumbavu kama wewe shostito.
 
Sasa mbona umenijibu. A typical crap!

Sasa tunaendelea kumshambulia jiwe na huna la kutufanya.
Mtamshambulia hadi vichwa vipande.
Ashajifia

Hata mimi na wewe tutakufa..ni suala la zamu na muda.

Upo nyonyo?
 
Mjadala constructive utakuja baada ya machungu ya watu kupoa.
#Haki, maridhiano na uwajibikaji.
 
Juzi watu wamedandia headlines za Mama Salma, nikasema ngoja nisikilize kaongea utopolo gani. To my surprise sikuona jambo baya alilosema, inawezekana asiwe a popular messenger, lakini hata hoja yake hatutaki kusikia! Na kuna watu unawaheshimu lakini jinsi wanavyodandia headlines unabaki kushangaa.

Taifa la watu wasiotaka kabisa kusikilizana ni taifa la hovyo kabisa. Ni watu wa kupinga pinga, wakibanwa waeleze why, wanaanza matusi.
 
Ninyi majizi na Punguani mnadhani siku moja hamtalamba udongo sio. Jpm alikuwa kiongozi, sio haya majizi yenu ya Leo. Nonsense
 

Huenda huko kumuita mnyama ndio hiyo hakuna binadamu aliyekamilika.
 
Mansubiri mtu mpaka afe ndiyo mumuandame?

What kind of cowards are you?

Unaweza kuwa uko sawa kwenye maelezo yako mengi, lakini hilo la kuandamwa baada ya kufa sio kweli. Huku mitandaoni Magufuli aliandamwa muda wote wa utawala wake hadi akafikia kutaka malaika washuke wafunge mitandao. Huenda baada ya mjadala kuwa mrefu na kukutana na watu wasioendana na matamanio yako, joto la mwili limepanda kidogo hadi kudhani ni baada ya kufa ndio anaandamwa.
 
Uko sahihi sana mkuu, je ww kwenye huo mjadala wa mama Salma ulichangia nini? Au na ww uliishia kukasirika watu walivyokuwa wanajadili? Unavyosema hapa inakuwa kama huo mjadala hakukuwa na mitazamo tofauti, bali ni hiyo negative tu uliyoiona?!
 
Jana kwenye shughuri yetu baba mchungaji alituambia kuwa kila mtu ni marehemu mtarajiwa (mfu atembeaye) kama ambavyo pua zetu zinavyoelekea zikiinusa ardhi! Je, tuanze kuwakemea hawa wachungaji?
 
Huwezi kumpangia mtu namna ya kuhisi na kufiri.

Wengine namna yao kutoa sumu moyoni ni kwa njia ya kuusema uovu waliotendewa hata kama mtu huyo hayupo.

Kueleza ubaya wa jiwe ni moja ya njia ya kusema kwamba hatutaki matendo yale yaje yajirudie.

Kila mtu anavuna alichokipanda awe hai au awe ahera
 
Ni hivi, kuna kifeni fulani kakukata upepo hapo pembeni ya jiwe
Kiongozi wa malaika alikuwa anatembea na feni. Nikikumbuka zile push-ups za kumbeza Lowassa, ndio naamini kweli Mungu hadhihakiwi...
 
Kiongozi wa malaika alikuwa anatembea na feni. Nikikumbuka zile push-ups za kumbeza Lowassa, ndio naamini kweli Mungu hadhihakiwi...
Tuombe tu uzima. Mambo ya kujiona una maisha marefu kuliko mwingine ni sawa na kumpangia Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…