Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Tuache masihara!
Maguuuuu hakufaa kuwa Rais, ni fisadi, korofi, katili, mpenda makuu sana.

Bora Samia kuliko like jamaa la chattle
 
Sasa hayo ma Air Condition ya nini kwenye mkutano wa wazi? Tumezowea kuyakuta maofsini kule kwenye majengo ya TRA, PSSSF na Bandari.

Hakika huyu alikuwa trip shamba trip garage. Asingekatiza kwa COVID 19
Sina shaka, huu ndio ujumbe wa uzi huu. Mtu anayeishi kwa mazingira haya, kweli ndiye wa kumpigia hesabu za miaka kibao mbele?
 
Tunashindwa kufikiria mambo mengine kwasababu ametuchomea nyavu zetu bure tenahalali nahatakama tulikata leseni huku kgm kunauvuvi unaitwa kipe niuvuvi wakistarabu lakini mpina wakishirikiana na magu walizichoma nakuita haram lakini unaleseni hapo hapo ukiwapa pesa wewe uliowapa pesa chombo chako kinakuwa halali jamaa kamsahau na deo Sanga nae alisema hivyo aongezewe muda
 
Ninyi majizi na Punguani mnadhani siku moja hamtalamba udongo sio. Jpm alikuwa kiongozi, sio haya majizi yenu ya Leo. Nonsense
Uzuri ni kwamba Magufuli hataona kifo chetu kama tulivyoona kifo chake. Ni furaha kushuhudia kifo cha jitu katili, jizi na DIKTETA
 
Uko sahihi sana mkuu, je ww kwenye huo mjadala wa mama Salma ulichangia nini? Au na ww uliishia kukasirika watu walivyokuwa wanajadili? Unavyosema hapa inakuwa kama huo mjadala hakukuwa na mitazamo tofauti, bali ni hiyo negative tu uliyoiona?!
Sehemu kubwa ya mjadala ilikuwa ni kumlaumu kwa nini analalamika. Majority walisoma headline, lakini hoja yake ilikuwa tofauti na headline. Ndicho nilichokiona, na hata ukijaribu kuuliza wamesikiliza mchango wake wote, unaishia kushambuliwa.
 
Tz tuna huruma na utu wa kinafki Sana. Kawaida wema, huruma na utu havichagui. Kama ww ni mtu mwenye utu, huruma na wema, yafaa uvioneshe kwa watu wote.

Kipindi yule dingi yupo madarakani aliyokuwa akiyafanya yalikuwa dhahiri, na hamkuwahi kuongea. Binafsi siwezi kumtetea hata nikute mtu amemuongelea harsh kiasi gani, maana sijui aliumizwa vipi.
 
Hata kama hasikii, acha asemwe. Hii ndio mbegu aliyoacha amepanda,
 
Wapi amesema alikuwa sawa kufanya hayo???

Hivi nyie..kutokuwa sawa kwa magufuli ndiko kunakofanya watu waendelee kuwa wajinga kiasi hiki cha kuendelea kutukana marehemu??
Haya matusi yanasaidia nini sasa??
Mtu alishakufa!
Tatizo marehemu alihisi angeishi milele. Hakufikiria kesho yake

Ni kweli yeye ameshakufa, lakini je, machungu aliyowaachia watu nayo yamekufa? Uchungu uliopo kwenye familia za watu waliouwawa nao umeisha?

Yeye ameenda, lakini madhara ya matendo yake bado yapo
 
Sehemu kubwa ya mjadala ilikuwa ni kumlaumu kwa nini analalamika. Majority walisoma headline, lakini hoja yake ilikuwa tofauti na headline. Ndicho nilichokiona, na hata ukijaribu kuuliza wamesikiliza mchango wake wote, unaishia kushambuliwa.

Kushambuliwa ni sehemu ya demokrasia, labda kama huimudu. Nimesikiliza mchango wa mama Salma, lakini ni mchango wa mtu mwenye ubinafsi zaidi. Stahiki zote anazopata rais, makamu au waziri mkuu, mwenza wake awe wa kike au wa kiume, ni kufru kupatiwa zaidi kama anavyopendekeza mama Salma. Watu wamekuwa wakali kwasababu wanaona kabisa hao viongozi wanapata kuliko inavyostahili, halafu bado tena wenza wao wapewe tofauti!

Kimsingi mchango wa yule mama sio mbaya kwasababu alikuwa anatumia lugha ya kistaarabu, lakini hana busara kutokana na uhalisia uliopo. Tena kama ana aibu hakupaswa hata kuwa mbunge maana hana uwezo wa uongozi, bali anatembelea mbeleko ya huu upendeleo wa kimfumo.
 
Tatizo watu hawamshambulii kwa hoja, wanamshambulia yeye binafsi.

Na pia, kusema "hakupaswa hata kuwa mbunge" ni aina ya ubaguzi, pia stahiki anazopata mwenza wake sio zake, kuna shida gani kuhoji kuhusu haki zake? Tuangalie hoja ya mtu, ajibiwe yeye bila kuangalia yeye ni nani.
 
Mama Salma alikuwa Mwl kabla ya kuwa 'first lady ', ilibidi astaafu ualimu kabla ya muda sababu mwenza wake alikuwa mkuu wa nchi, Sasa akilipwa mafao yake ya Ualimu ni dhambi ?

Isitoshe alikuwa anajenga hoja ili wenza wa marais wajao huduma na haki zao ziwekwe kisheria.
 
Ni kweli usemayo ;lakini je! Malalamiko,matusi na lawama juu yake vitatupeleka wapi?
 

Sitaki kukubishia kwenye mtazamo wako, ingekuwa amepata hiyo nafasi kwa uwezo hapo nisingekuwa na tatizo sana, lakini hii ya kupata nafasi kwa upendeleo, na chaguzi za kihuni hiyo haikai vizuri. Kuangalia yeye ni nani hiyo haikwepeki, maana hata aliyempa hiyo nafasi ameangalia yeye ni nani. Stahiki anazopata mume wake sio zake wakati alikuwa anapewa heshima zote kama first lady?! Mkuu au umeamua kubishana tu nini? Kwa mtazamo huu hata kwenye huo mjadala ndio maana uliishia kupata tabu.
 

Ninachojua ukistaafu bila kujali ww ni mke wa rais au vipi unapewa stahiki zako. Hilo liko kisheria labda useme una uhakika hakulipwa hiyo stahiki yake.

Stahiki zake ziko kwa mumewe, na kwa mtazamo wangu ni kama hao viongozi wanaokuwa overpaid. Hii ndio inayopelekea serikali kuwa na mzigo mkubwa kwa kuwa na list ya wastaafu wanaondelea kulipwa, huku wenzi wao wakiamini hata wao wana haki tofauti na stahiki za wenza wao. Matokeo yake watu wanakosa ajira, na huduma muhimu kisa kuna wastaafu wanaoendelea kulipwa bila sababu ya msingi.
 
Wewe muongo.
 
Hata ukiwa mkali vipi, truth shall prevail [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
You do realize that you are a walking carcass too, right?

Tulimpenda, hatukumpenda tayari keshatangulia. Tumuache sasa, inatosha.
Nani anae amua kuwa kumsema inatosha ?? baado tutamsema hadi 2050 ,oo hasikii ooh haina maana sasa si mtuache tumseme mnaumia nini kama hasikii na haina maana
 
I am asking, did Magufuli frustrate you guys this much? If yes, what does that say about your mental fortitude? If no, why the stupid vitriolic bile?
Unajisahaulisha tu, kwamba Magufuli mwenyewe ndiye aliyekuwa bingwa wa kuwasema vibaya wengine.
Here was a leader who was uncooth, crude and brutal. People are venting now knowing he is incapable of coming back to hurt them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…