Tuache masihara!Katika mambo mengi yaliyotawala mitandao ya jamii na Bunge mwaka 2020 ilikuwa ni kuongeza ukomo wa utawala kwenye katiba ili kumuwezesha Magufuli aende beyond 2025. Alisikika Ally Kesi mbunge wa Nkasi wa wakati huo akisema "apende asipende lazima tumuongeze muda". Na Spika Ndugai akamhakikishia Ally Kesi kurudi Bungeni na kuipokea hoja yake.
Angalieni hapa picha za aliyekuwa anapigiwa debe, namuona kama kwa mwaka 2020 alikuwa tayari ni walking carcass;
Maguuuuu hakufaa kuwa Rais, ni fisadi, korofi, katili, mpenda makuu sana.
Bora Samia kuliko like jamaa la chattle