Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Kwanza kabisa, kuwaita wafuasi wa Magufuli "Sukuma Gang" ni ujinga wa ukabila.

Tupo Wasukuma wengi ambao hatujamkubali Magufuli alivyokuwa hai na hatumkubali sasa alivyokufa.

Tafadhali usihusishe jina la kabila na wafuasi wa Magufuli.

Hagayaaaaaa!
 
Hujajibu swali la msingi, nimekuuliza tena yale ma Air conditioner yalikuwa na kazi gani kwenye mkutano wa kampeni unaofanyika nje?

Still the self anointed narcissist you are beating around the bush. Answer my question
Hujanielewa na inawezekana una uwezo wa kunielewa.

Hata kama Magufuli alikuw amgonjwa, hata kama kweli alikuwa anapepewa.

Kumuita Magufuli, mtu aliyekwishajifia, a "walking carcass", wakati Samia mtu anayeishi leo bado anawapiga, ni kukosa priorities.

Kwa sabau.

1. Mnatumia nguvu nyingi kupigana na maiti.
2.Wakati mnapigana na maiti, walio hai wanawaharibu zaidi. Hii ni opportunity cost, unapoongea kuhusu "Magufuli was a walking carcass" ushaacha kuonge akuhusu mambo ya msingi kama katiba mpya.
3.Hata huyo maiti hamjui kumpiga vizuri, ana mengi ya kusemwa kuliko mortality yake.Mortality ni kitu ambacho kila mtu anacho, hivyo kusema huyu alikuw anakufa tu ni ujinga, kila mtu atakufa.This is more hate than logical thinking.
4. Mna wa isolate wafuasi wa Magufuli na watu waliokaa katikati, ambao wangeweza kujiunga nanyi kuboresha mambo ya msingi aliyoharibu Magufuli.
5. Mna contradict kanuni nyingi za utawala bora na kujielewa, wengine hatukumpenda Magufuli kwa maneno yake ya ovyo, tukisikia wanaompinga wanakuja na maneno yale yale ya ovyo kama "Magufuli was a walking carcass" au "wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato", tunaona hawa nao ni wale wale tu, tatizo hawajapata urais.
 
Huyu mtu Magufuli siyo wa kumhurumia kata kidogo kwa kuwa yeye ndiye muasisi wa "bullying", ngoja naye aipate kupitia kwa wanaomuabudu kama wewe @Kiranga
'Bullying' kwa mtu aliyekwisha kufariki na kuzikwa zaidi ya mwaka mmoja uliopita ni matumizi mabaya ya akili na muda.

'JPM is gone forever' ni vyema tutumie huu muda kurekebisha alipokosea yeye kwa manufaa yetu ya Sasa na baadae.
 

Egypt, Sudan, Zimbabwe nk walitawaliwa kibabe na kiongozi mmoja zaidi ya 25yrs, siku moja uoga wa muda mrefu uliisha na watu wakaingia mtaani. Tumeanza na kuhakikisha watu wengi hawajitokezi kupiga kura, ili kuwa na utawala usio na uhalali wa umma.

Kiranga na ww bana ukipanick kwa hoja zako kutokuungwa mkono mpaka unakuwa kama teenager, hiyo walking carcass ni maneno ya kawaida kwenye mijadala. Sasa naona limekuuma ndio umebaki na hilo hilo mjadala mzima. Na hayo maneno ya Zito ni sehemu ya kutema nyongo yake kutokana na utawala wa kihayawani wa Magufuli, na ameeleweka.

Hakuna anayejali waliokuwa upande wa Magufuli, bali watu wanataka walioona Magu sio, watoe support ya kukataa utawala wa kiouvu. Sasa sijui ni wapi huelewi mpaka umepanic kiasi hiki!
 
Magu aliwabutua kiasi kwamba hamuwezi kumsahau na hiyo mtaenda nayo hadi 2025, 2030 na hata 2035.
 
Kwanza kabisa, kuwaita wafuasi wa Magufuli "Sukuma Gang" ni ujinga wa ukabila.

Tupo Wasukuma wengi ambao hatujamkubali Magufuli alivyokuwa hai na hatumkubali sasa alivyokufa.

Tafadhali usihusishe jina la kabila na wafuasi wa Magufuli.

Hagayaaaaaa!
Blaza kumbe wewe Msukuma!!
 
Kwasababu ya kumsema binadamu....hii ndiyo tofauti yangu na wewe...hata angemsema baba yako au adui wa baba yako ningeandika hivyo tu.
Unashindwa kuelewa freedom of speech na mtoa Uzi hakuna mahali hata amemtukana mwendazake
 
Nafuu Samia anatupiga bila kututukana kuliko huyu mungu wa Sukuma Gang ambaye alitutukana huku anatupiga vibaya. TAARIFA; Hata Kiranga ukiwa Rais utatupiga tu, huo ndiyo UAFRIKA.

Mpaka sasa hivi hujajijibu kuhusu zile Air conditioner zilikuwa na kazi gani mkutano wa nje, hivyo bado unayemuabudu anabaki kuwa walking carcass
 
'Bullying' kwa mtu aliyekwisha kufariki na kuzikwa zaidi ya mwaka mmoja uliopita ni matumizi mabaya ya akili na muda.

'JPM is gone forever' ni vyema tutumie huu muda kurekebisha alipokosea yeye kwa manufaa yetu ya Sasa na baadae.
Tusichaguliane silaha, hii vita alianzisha Magufuli mwenyewe na HAITOISHA.

Mbona nyinyi mmamuita Shujaa wa Africa, mara mnamuita Chumba, wengine wanmuita mzalendo.

Kwanini umuite Shujaa au Mzalendo mutu ambaye kisha kufa na ameliwa na minyoo mwaka mzima uliopita?
 
Magu aliwabutua kiasi kwamba hamuwezi kumsahau na hiyo mtaenda nayo hadi 2025, 2030 na hata 2035.
Magu angekuwa na uwezo wa kubutua mtu angevipiga kwanza vidudu vya makamasi vinaitwa corona. Mshenzi yule alikuwa mwoga kuliko maelezo ndiyo maana kila mahali alihakikisha yuko na IGP, CDF na Mkuu wa TISS. Purely element za uwoga
 
Magu angekuwa na uwezo wa kubutua mtu angevipiga kwanza vidudu vya makamasi vinaitwa corona. Mshenzi yule alikuwa mwoga kuliko maelezo ndiyo maana kila mahali alihakikisha yuko na IGP, CDF na Mkuu wa TISS. Purely element za uwoga
Aliwabutua sana!

Mna stress kiasi kwamba mmeshindwa kabisa kumsahau!!

Na hii itawatesa maisha yenu yote!

Kwa streas zenu uchaguzi wa 2025 utakuwa kati ya ccm & wapinzani vs wafuasi wa Magufuli!

Kisha ccm itawatumbukiza shimoni mkafie huko kabisa
 
Aliwabutua sana!

Mna stress kiasi kwamba mmeshindwa kabisa kumsahau!!

Na hii itawatesa maisha yenu yote!

Kwa streas zenu uchaguzi wa 2025 utakuwa kati ya ccm & wapinzani vs wafuasi wa Magufuli!

Kisha ccm itawatumbukiza shimoni mkafie huko kabisa
Adolph Hitler, Iddi Amin, Benito Mussolini na Mobutu nao wanakumbukwa siyo kwa sababu wanapendwa bali ni kwa unyama wao.

Naye Magufuli anaongezeka kwenye huo ukurasa wa maDIKTETA
 
Kila nafsi itaonja mauti, kumbuka hilo.
 
Kila nafsi itaonja mauti, kumbuka hilo.
Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake

Hicho ndicho kinatufurahisha
 
Lakini nyie wepesi wa kusahau, Lowasa alidhihakiwa na viongozi wa CCM alipogombea kuwa wananchi wasichague mgonjwa akafie Ikulu, mmesahau? Nyie mliochagua mzima, mmeona Mungu alivyowajibu? Tena Lissu Kapigwa risasi, watu wakachapa T-shirt zikitaka watu wamwombee: "Pray for Lissu", Magufuli na utawala wake wakatawanya na kukamata yeyote aliyevaa fulana ya kumwombea Lissu, Nadhani uliona Mungu alivyojibu kwa yule aliyekataza watu kumwombea Lissu! Leo mmesahau mliyoyafanya? Kweli mmesahau?
 
Mjomba, lugha chafu ilianzishwa na CCM kumtukana Lowasa kuwa wananchi wasichague mgonjwa akafie Ikulu. Haya sasa, wale wazima wamejifia, leo mnang'aka Nini wakati lugha chafu mliiasisi wenyewe?
 
Wewe, hakuna organized syndicate Wala Nini. Lugha chafu ilianzishwa na CCM kumtukana Lowasa kuwa wananchi wasichague mgonjwa akafie Ikulu, kwamba Lowassa ni maiti inayotembea, wakati huo mlifurahia na kusherehekea, leo Mungu ameshusha rungu, mmesahau lugha zenu za kifedhuli mlizoanzisha? Kwa kweli Mungu ni fundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…