Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Hatimae Mungu amesikia kilio chetu lazima tumuongeze Rais wetu muda wa kusalia madarakan
 
Ni mpango mkakati wa muda mrefu sana
Lzm itimie connect dot.Kuuwa upinzani,kubinya Uhuru wa habari,kuuwa demokrasia,kuunga juhudi, ikulu mpya,Kinga ya kutoshtakiwa,hoja za kuongeza muda,nk.Wenye maamuzi wa yote ni wananchi.
Tuna Makundi mawili Sasa hivi kundi la wanufaika hapa unawapata TISS,wakuu wa vyombo, viongozi wa dini,waunga juhudi, wabunge ccm,wasanii,waimba kwaya wote lengo wapate mkate na la pili ni wasionufaika hapa unakuta kundi kubwa la wengi wasugua bench, wanyonge,
 
Hivi ni kwamba huwezi Kiswahili au una haraka?
 
Sasa wakimuongezea muda halafu Mungu akafanya yake itakuwaje?
 
yan huyo jamaa akiongezewa muda nahamia Kenya kwa odinga yan hii mitano imekuwa kama miaka 300
 
Hao wanataka wapitishwe tena kwenye mchakato ndio maana wanakuwa hivyo.
Hawana lolote hapo.
 
Kuuza nchi kwa mabeberu na mafisadi ni kuacha nchi salama jinga kabisa wewe ,tulikuwa tunaambiwa ni mchanga kumbe ni madini ya zaidi ya $360mil yanatoroshwa na uchafu wa IPTL
Nani aliuza nchi kwa mabeberu?
 
Tumpe miaka 20 zen aje mwengine, cz bado kuna kazi hajamaliza, yuko vzr na kwa miaka hii bado hakuna wa kufit kile kiti zaidi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…