Kama umekosa udhamini ni dhahiri ungeisumbua tu Tume ya Uchaguzi kujaza wagombea, maana hata kura usingepigiwa. Kama hadharani hujapata wadhamini, basi kwenye kura ambayo ni ya siri usingefikiriwa kabisaMdau wa soka Ally Mayai Tembele ambaye alichukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka Nchini (TFF) amesema hata yeye amekosa endorsment hivyo anasubiri mamlaka ziamue.
"Nimekosa Endorsement, kwa sababu nilichukua fomu nilipaswa kuirejesha.Kwa sasa imekuwa ngumu.Zamani chama cha soka kilikuwa na uwezo wa kuwaendorse watu zaidi ya mmoja lakini kwa sasa ni mmoja tu, tusubiri mamlaka zitaamua nini."
kazi ya Tume ni kuhesabu kura bila kujali idadi ya wagombea. Hakuna uchaguzi huru na wa haki ambao mtu mmoja tu ndio ana sifa ya kugombania nafasi ya uongozi.Kama umekosa udhamini ni dhahiri ungeisumbua tu Tume ya Uchaguzi kujaza wagombea, maana hata kura usingepigiwa. Kama hadharani hujapata wadhamini, basi kwenye kura ambayo ni ya siri usingefikiriwa kabisa
Nilipoona wana Yanga wanamshabikia na kumtaka akamng'oe Karia, nikajua hapo ameshashindwa. Kuja kumuona na yeye kajichanganya, kwa kusindikizwa na lile TOPOLO ANDAMIZI Salamba, mpaka likawa linamfungulia milango, nikajua. 'KWISHA HABARI YAKE'!Kama umekosa udhamini ni dhahiri ungeisumbua tu Tume ya Uchaguzi kujaza wagombea, maana hata kura usingepigiwa. Kama hadharani hujapata wadhamini, basi kwenye kura ambayo ni ya siri usingefikiriwa kabisa
Unawezaje kujua hio comment ni ya shabiki wa Simbakazi ya Tume ni kuhesabu kura bila kujali idadi ya wagombea. Hakuna uchaguzi huru na wa haki ambao mtu mmoja tu ndio ana sifa ya kugombania nafasi ya uongozi.
Mashabiki wa Simba huwa mnajitoa sana akili.
Jamaa ni lidikteta sio poaHii mbinu lazima Karia adumu hapo tff kama Museven anyway bongo mpira wenyewe haupo
FIFA wanatumia utaratibu huu, na katiba za wanachama wa FIFA zinalazimika kufuata hivyo. Hata uchaguzi wa Rais wa nchi yetu ni lazima upate wadhamini kadhaa kutoka pande zote za muungano. Mtikila aliwahi kukosa wadhamini kutoka Zanzibar 😃Hakuna uchaguzi huru na wa haki ambao mtu mmoja tu ndio ana sifa ya kugombania nafasi ya uongozi.
Mashabiki wa Simba huwa mnajitoa sana akili.
Huko Fifa pia Rais anaekuwa madarakani anakuwa endorsed na wapiga kura wote?FIFA wanatumia utaratibu huu, na katiba za wanachama wa FIFA zinalazimika kufuata hivyo. Hata uchaguzi wa Rais wa nchi yetu ni lazima upate wadhamini kadhaa kutoka pande zote za muungano. Mtikila aliwahi kukosa wadhamini kutoka Zanzibar 😃
Muulize samia kwa nini anaogopa ushindaniUkiona mtu analeta masharti kuzuia watu kuingia kwenye uchaguzi ujue ni ujinga
Kama anajiamini si aache watu waingie kwenye kinyang'anyiro washindanie kwenye sanduku la kura?
wadhamini au wajumbe ambao watakusainia fomu yako.!Anamaanisha nini anaposema endorsement?
Hizo kanuni zimewekwa lini? Kama si kipindi hiki cha uchaguzi, basi wa kulaumiwa ni Wagombea wenyewe. Kama waliona kanuni hizo ni mbaya walipaswa miaka angalau miwili kabla wapigenie zibadilishwe.Huko Fifa pia Rais anaekuwa madarakanih anakuwa endorsed na wapiga kura wote?
Je Ni yeye tu ndie anaebaki kuwa na sifa ya kugombania Urais?
Waseme No Reforms, No electionHizo kanuni zimewekwa lini? Kama si kipindi hiki cha uchaguzi, basi wa kulaumiwa ni Wagombea wenyewe. Kama waliona kanuni hizo ni mbaya walipaswa miaka angalau miwili kabla wapigenie zibadilishwe.