Ally Mayay amekosa endorsment (kuungwa mkono) asubiri Mamlaka ziamue

Pamoja na figisu figisu za Karia bado wakalaumiwa ni Ali Mayay na hao wagombea wengine. Kampeni ya kumuondoa mtu aliyesimika mizizi kama Karia sio lelemama ilibidi ianze mara baada ya uchaguzi ulipoisha.
 
FIFA wanatumia utaratibu huu, na katiba za wanachama wa FIFA zinalazimika kufuata hivyo. Hata uchaguzi wa Rais wa nchi yetu ni lazima upate wadhamini kadhaa kutoka pande zote za muungano. Mtikila aliwahi kukosa wadhamini kutoka Zanzibar 😃
Acha uongo wee Kolo! Mtikila hajawahi kwenda Zanzibar kutafuta wadhamini kwa sababu alisema hawezi kwenda nchi jirani kutafuta wadhamini. Mtikila aliwashangaa wanaokwenda Zanzibar kutafuta wadhamini wakati wao ni Watanganyika! Mtikila alikuwa Mtanganyika halisi!
 
Ndicho na mími najaribu kueleza Watu. Kanuni hata kama mbovu lakini ni za muda mrefu. Mgombea aliye serious alitakiwa kupambana mapema na si kusubiri wakati wa uchaguzi kusubiri huruma
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilikuwa nawaambia vigezo vya TFF ya karia ni vigumu mnoo...sasa yako wapi.

Vile vigezo vipo calculated.
Ukivisoma juu juu unaviona ni rahisi.
Karia ni mafia...
Huo utaratibu uko hivyo miaka mingi nyuma sio mpya.Na kama ungekua na mapungufu wangekuja na hoja zakuubadilisha ila wanakaaga kimya .Kimsingi ni utaratibu mbovu kwa dunia ya leo kwasababu hautoi wigo mpana wa wagombea kushindana.
 
Huo utaratibu uko hivyo miaka mingi nyuma sio mpya.Na kama ungekua na mapungufu wangekuja na hoja zakuubadilisha ila wanakaaga kimya .Kimsingi ni utaratibu mbovu kwa dunia ya leo kwasababu hautoi wigo mpana wa wagombea kushindana.
Upo sahihi mkuu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…