Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Last time Ali Mayay aligombea urais wa TFF huku makamu wake akiwa ni Jamhuri Kihwelo 'Julio'Kisa,..... UTOPOLO mwenzio!
Na katika maelezo yangu hapo juu, utaona sijamtaja kabisa Jamal Malinzi na mwenzake Wallace Karia! Isipokuwa Leodgar Tenga!
Ali Mayay ni mwanafamilia katika mpira wa miguu. Na ili TFF ipige hatua kubwa zaidi, inatakiwa iongozwe na wanafamilia wenyewe wenye uwezo kama alivyo Ali Mayay! Badala ya hawa wanasiasa kutoka CCM kama ilivyokuwa kwa Jamal Malinzi na huyu Wallace Karia.