Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mimi nimejikita zaidi kwenye mafanikio ya taasisi! Na siyo mafanikio ya kwenda Afcon!Weka takwimu mkuu. Simkubali Karia lakini tathmini zinaonyesha utawala wake una mafanikio kuliko Tenga
Leodgar Chilla Tenga ndiye rais aliye irejeshea TFF heshima ambayo ilipotea kwa miaka mingi. Enzi za akina Ndolanga na FAT yao, mpira wa Bongo ulijaa siasa tu na figisu kama hizi zilizoanza kujitokeza wakati wa akina Malinzi na mwenzake Karia.
Hivyo naamini siku wenye mpira wao wakirejea tena kwenye madaraka, huenda tukapiga hatua kubwa zaidi ya hapa tulipo. Maana watawekeza nguvu kubwa kwenye maendeleo ya mpira, badala ya kwenye siasa za ccm, na hizi za Yanga na simba.