Last time Ali Mayay aligombea urais wa TFF huku makamu wake akiwa ni Jamhuri Kihwelo 'Julio'Kisa,..... UTOPOLO mwenzio!
Kwa muundo wa serikali, cheo hicho ni kikubwa. Pale Tifuatifua ni mahali pa kupiga hela kiujanjaujanja. Hawezi kuacha Ukurugenzi akagombee Tifuatifua labda baada ya kustaafu. Next stage ni ukatibu mkuu wa wizara. Upo hapo?KUwa rais wa tff, na Huo ukurugenzi Kipi ni cheo kikubwa??? Acha kukariri platform ya Tff ni kubwa Sana kuliko ukurugenzi... Ndo nyinyi mliomuona Humphrey pole pole kaula baada ya kupata ubalozi toka ubunge!!..
Hapo tupo pamoja,ila msitegemee kubebwaHuyu jamaa anaweza. Tuendelee kumuombea heri na afya njema ili hiyo siku ikifika, basi aje kututoa pale alipoishia Leodgar Chilla Tenga.
Wacha aje aongoze tuu. Ila bwana hawa binadamu sijui wakishakalia kile kiti wanaingiwa na wazimu ganiAtakuja tu kuiongoza TFF huyu Bwana "Mayai" ni suala la muda tu.
Zipo kama milioni 5 hiviNafasi za TEUZI Tanzania ni NYINGI kinomaaaaaaaa kummmmmke
Wacha achukue tuu aje afanye mambo ya maana.Huyu ndo raisi ajaye wa TFF
Hata wakati wa Tenga haya malalamiko ya kubebwa hayakuwepo! Ni baada ya kuingia Jamal Malinzi na mwenzake Karia, ndiyo tumeanza kunyoosheana kidole.Hapo tupo pamoja,ila msitegemee kubebwa
Nafuta usemi wangu wa hapo juu!Last time Ali Mayay aligombea urais wa TFF huku makamu wake akiwa ni Jamhuri Kihwelo 'Julio'
Na katika maelezo yangu hapo juu, utaona sijamtaja kabisa Jamal Malinzi na mwenzake Wallace Karia! Isipokuwa Leodgar Tenga!
Ali Mayay ni mwanafamilia katika mpira wa miguu. Na ili TFF ipige hatua kubwa zaidi, inatakiwa iongozwe na wanafamilia wenyewe wenye uwezo kama alivyo Ali Mayay! Badala ya hawa wanasiasa kutoka CCM kama ilivyokuwa kwa Jamal Malinzi na huyu Wallace Karia.
Ni cheo kikubwa but huwez kulinganisha na platform ya KUwa rais TFf. Hapo utaishia kula mshahara wa 3m, viposho vya kufunga tu. Tff pale we ikiwa rais we Ndo boss, pesa zotë wa wadhamini we ndo accounting officer, Bado za Fifa, Bado hujasafir Huko na Kule? Bado vitu Bongo kwelii... Ukurugenzi ni cheo kidgo Sana na urais wa tff ndugu.. acha kufikiria protokal Za kipuuzi hizo.. ndo maaana Leo MTU anaacha ukatibu mkuu wa wizara aende kugombea ubunge?? Kwa wewe utamchekaKwa muundo wa serikali, cheo hicho ni kikubwa. Pale Tifuatifua ni mahali pa kupiga hela kiujanja ujanjaujanja. Hawezi kuacha Ukurugenzi akagombee Tifuatifua labda baada ya kustaafu. Next stage ni ukatibu mkuu wa wizara. Upo hapo?
Ha ha ha kama alivyokua akiiimba na kujiita msanii mheshimiwa Temba " Temba Tembele"Kumbe tembele ni jina la ukoo nilijua a.k.a tu ya Bwana Ally.
Kama umekubali ni cheo kikubwa basi, mengine mbwembwe tu na kutaka kujitajirisha.Ni cheo kikubwa but huwez kulinganisha na platform ya KUwa rais TFf. Hapo utaishia kula mshahara wa 3m, viposho vya kufunga tu. Tff pale we ikiwa rais we Ndo boss, pesa zotë wa wadhamini we ndo accounting officer, Bado za Fifa, Bado hujasafir Huko na Kule? Bado vitu Bongo kwelii... Ukurugenzi ni cheo kidgo Sana na urais wa tff ndugu.. acha kufikiria protokal Za kipuuzi hizo.. ndo maaana Leo MTU anaacha ukatibu mkuu wa wizara aende kugombea ubunge?? Kwa wewe utamcheka
Kwa muundo wa serikali, cheo hicho ni kikubwa. Pale Tifuatifua ni mahali pa kupiga hela kiujanja ujanjaujanja. Hawezi kuacha Ukurugenzi akagombee Tifuatifua labda baada ya kustaafu. Next stage ni ukatibu mkuu wa wizara. Upo hapo?
Kuiba hela....Wewe acha ujinga.. U rais wa TFF una hela sana.. na exposure za kufa mtu. Vikao vya Caf, vikao vya Fifa , mahela ya fifa yanakuja kila mwaka wewe ndie unayasimamia..
Samuel Etoo mwenyewe kakomaa nacho hicho cheo, didier drogba anakitaka sana hicho cheo kwao ila anakikosa
Katibu mkuu ni cheo kidogo sana ukilinganisha na u rais wa TFF
Wengi hawalioni hilo.Wewe acha ujinga.. U rais wa TFF una hela sana.. na exposure za kufa mtu. Vikao vya Caf, vikao vya Fifa , mahela ya fifa yanakuja kila mwaka wewe ndie unayasimamia..
Samuel Etoo mwenyewe kakomaa nacho hicho cheo, didier drogba anakitaka sana hicho cheo kwao ila anakikosa
Fahamu kuwa kwa nafasi yake hiyo ni mkubwa kiitifaki kuliko huyo Rais wa TFFHuyu ndo raisi ajaye wa TFF
Huyu jamaa anaweza. Tuendelee kumuombea heri na afya njema ili hiyo siku ikifika, basi aje kututoa pale alipoishia Leodgar Chilla Tenga.
Said it all.Fahamu kuwa kwa nafasi yake hiyo ni mkubwa kiitifaki kuliko huyo Rais wa TFF
Japo huko TFF kunaweza kuwa na pesa pesa za wafadhili..ila ili wazitumie vizuri hawapaswi kumsahau Mkurugenzi ili waendelee kuwa salama..kwahiyo si haba na yeye ataambulia.Said it all.
Achana na mbwembwe za itifaki, zinakusaidia Nini?? Leo hii DAS ni mkubwa kuliko DED, cha ajabu mwangalie gari analotembea nalo mkurugenzi na kigar Cha DAs hpo ujue itifaki bila hela ni upuuzi tu.... Bado pesa alizonazo DED, DAS ni Kato kadogo. Urais TFF ni platform kubwa kuliko HTa ukatibu mkuu wa wizaraFahamu kuwa kwa nafasi yake hiyo ni mkubwa kiitifaki kuliko huyo Rais wa TFF