mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Wadau kwema . Leo nimepata changamoto ambayo sikutegemea kama ingewahi nitokea. Kuna mshenzi mmoja amewasha mashine pasipo ruhusa wakati nikiset nyuzi za kufungia silage(chakula cha Ng'ombe) 😢😢 .almanusura vidole vyangu vitoweke.
huyu mpuuzi alikuwa anigeuze kilema.🥶😱😰.
Mashine yenyewe tuliokuwa tunatumia hii hapa
Wakati na set hizo nyuzi hapo mpuuzi akawasha pasipo kuambiwa . 😪😪😥
Anyway sema maumivu yake niliyasikilizia hadi kwenye spinal cord.
Sijui itachukua siku ngapi ku recover?
NAWASIHI .Mkiwa mnafanya kazi karibu na mashine yoyote ile ni kuwa makini tu wadau .