Ni kweli hata mimi nlizingua... mimi nilikuwa Operator tu maana kimashine ni automatic..sasa kwenye minor settings inabidi nizifanye mwenyewe...Next time itabidi nizangatie precautions zote.. nimejifunza in Hard way.Pamoja na uzembe wa huyo jamaa lakin hata wewe hukua umevaaa PPE yoyote nhimu sana kuzingatia usalama wako uwapo kazin
Pole sanaWadau kwema . Leo nimepata changamoto ambayo sikutegemea kama ingewahi nitokea. Kuna mshenzi mmoja amewasha mashine pasipo ruhusa wakati nikiset nyuzi za kufungia silage(chakula cha Ng'ombe) 😢😢 .almanusura vidole vyangu vitoweke.
View attachment 3328220
huyu mpuuzi alikuwa anigeuze kilema.🥶😱😰.
Mashine yenyewe tuliokuwa tunatumia hii hapa
View attachment 3328223
Wakati na set hizo nyuzi hapo mpuuzi akawasha pasipo kuambiwa . 😪😪😥
Anyway sema maumivu yake niliyasikilizia hadi kwenye spinal cord.
Sijui itachukua siku ngapi ku recover?
NAWASIHI .Mkiwa mnafanya kazi karibu na mashine yoyote ile ni kuwa makini tu wadau .
Pole sana mpambanajiWadau kwema . Leo nimepata changamoto ambayo sikutegemea kama ingewahi nitokea. Kuna mshenzi mmoja amewasha mashine pasipo ruhusa wakati nikiset nyuzi za kufungia silage(chakula cha Ng'ombe) 😢😢 .almanusura vidole vyangu vitoweke.
View attachment 3328220
huyu mpuuzi alikuwa anigeuze kilema.🥶😱😰.
Mashine yenyewe tuliokuwa tunatumia hii hapa
View attachment 3328223
Wakati na set hizo nyuzi hapo mpuuzi akawasha pasipo kuambiwa . 😪😪😥
Anyway sema maumivu yake niliyasikilizia hadi kwenye spinal cord.
Sijui itachukua siku ngapi ku recover?
NAWASIHI .Mkiwa mnafanya kazi karibu na mashine yoyote ile ni kuwa makini tu wadau .
Maumivu yapo kwa mbali maana nilitumia pain killers na baadhinya dawa nilopewa kwa hiyo maumivu sio makali sana. Labda muda wa kulala..😰Sasa huyo mpuuzi ni kwanini aliwasha mashine??
Na pia mkuu Umeumia sana unawezaje kutumia simu na maumivu hayo?? Maana kama ni mimi sijui hata kama ningeweza kuchati
Hapo kapona tayariPole sweetheart
Bila shakaHapo kapona tayari
Pole sana mkuuWadau kwema . Leo nimepata changamoto ambayo sikutegemea kama ingewahi nitokea. Kuna mshenzi mmoja amewasha mashine pasipo ruhusa wakati nikiset nyuzi za kufungia silage(chakula cha Ng'ombe) 😢😢 .almanusura vidole vyangu vitoweke.