The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Duuh pole sana
Hako kamashine ukikaangalia kako innocent ila ukijichanganya kidogo tu unakunjwakunjwa kama bales za mitumba ...Asee mdau Ni Mungu tu alikuwa nami.. leo sijui ingekuwajee.😪. Ila hawa ndugu zetu wakenya ni kama tu wamevurugwa na maisha.. mjinga huyu kidogo anifanye nife kizembepolesana ,ushukuru sugu ya mikono yako
lakini ,nimewaza kama ungekuwa ndani ya kiwanda fulani...spati picha
todai fidia ,mshenzi kweli huyoHako kamashine ukikaangalia kako innocent ila ukijichanganya kidogo tu unakunjwakunjwa kama bales za mitumba ...Asee mdau Ni Mungu tu alikuwa nami.. leo sijui ingekuwajee.😪. Ila hawa ndugu zetu wakenya ni kama tu wamevurugwa na maisha.. mjinga huyu kidogo anifanye nife kizembe
Usiamini mtuNi kweli hata mimi nlizingua... mimi nilikuwa Operator tu maana kimashine ni automatic..sasa kwenye minor settings inabidi nizifanye mwenyewe...Next time itabidi nizangatie precautions zote.. nimejifunza in Hard way.
Mamtu daily yanaongea kilugha hata kwenye mawasiliano kidogo inakuwa changamoto .. wa kenya kilugha wameendekeza sana . Sasa ukija sisi wabongo atleast maana tunaelewana kiswahiliKwenye mashine mnapokuwa wawili inabid muwe makin sana na muwasiliane
Kumbe ni mkenya taNimeenda ki private local tu hapa jioni hii ksh700 imenitoka ... sema wameniangalia huyo daktari ameniambia sio severe injuries.. Ni ngozi ya juu tu ndio imenyofolewa😰
Mashine ilikuwa imezimwa ... sasa kwa vile hiki kijimashine ni automatic sijui wameongea kilugha chao huko muda gani mpuuzi akabonyeza button pasipo ruhusa huko mimi niko kwa mbele naset nyuzi anyway nitafuata huu ushauri wako.🙏🙏Mkuu kuna kitu kinaitwa LOTOTO ( lock out tag out try out) mkuu unapofanya matengenezo ya kazi yoyote ya machine na mko zaidi ya watu 2 Fanya LOTOTO .Mkuu wewe ndo mzembe ulipaswa kwenda kudesconnect hiyo machine kabla hujaanza kufanya hayo matengenezo, mkuu usimuamini MTU yeyote mnapofanya kazi kwenye mashine.LOTOTO
Siku zote huwa nasema kukaa karibu na mpumbavu au mwendawazimu ni hatari kwa afya na maisha yako.Wadau kwema . Leo nimepata changamoto ambayo sikutegemea kama ingewahi nitokea. Kuna mshenzi mmoja amewasha mashine pasipo ruhusa wakati nikiset nyuzi za kufungia silage(chakula cha Ng'ombe) 😢😢 .almanusura vidole vyangu vitoweke.
View attachment 3328220
huyu mpuuzi alikuwa anigeuze kilema.🥶😱😰.
Mashine yenyewe tuliokuwa tunatumia hii hapa
View attachment 3328223
Wakati na set hizo nyuzi hapo mpuuzi akawasha pasipo kuambiwa . 😪😪😥
Anyway sema maumivu yake niliyasikilizia hadi kwenye spinal cord.
Sijui itachukua siku ngapi ku recover?
NAWASIHI .Mkiwa mnafanya kazi karibu na mashine yoyote ile ni kuwa makini tu wadau .