Almanusura nipoteze vidole vyangu viwili vya mkono.(Angalizo! Nimeambatanisha na picha ya majeraha)

Almanusura nipoteze vidole vyangu viwili vya mkono.(Angalizo! Nimeambatanisha na picha ya majeraha)

Wadau kwema . Leo nimepata changamoto ambayo sikutegemea kama ingewahi nitokea. Kuna mshenzi mmoja amewasha mashine pasipo ruhusa wakati nikiset nyuzi za kufungia silage(chakula cha Ng'ombe) 😢😢 .almanusura vidole vyangu vitoweke.
View attachment 3328220
huyu mpuuzi alikuwa anigeuze kilema.🥶😱😰.

Mashine yenyewe tuliokuwa tunatumia hii hapa
View attachment 3328223
Wakati na set hizo nyuzi hapo mpuuzi akawasha pasipo kuambiwa . 😪😪😥
Anyway sema maumivu yake niliyasikilizia hadi kwenye spinal cord.
Sijui itachukua siku ngapi ku recover?

NAWASIHI .Mkiwa mnafanya kazi karibu na mashine yoyote ile ni kuwa makini tu wadau .
Pole sana bro
 
Mkuu wa ujasusi pole sana

Ila naomba kuuliza hizo mashine zinauzwa bei gani?
 
Nimeenda ki private local tu hapa jioni hii ksh700 imenitoka ... sema wameniangalia huyo daktari ameniambia sio severe injuries.. Ni ngozi ya juu tu ndio imenyofolewa😰
So huyo aliyefanya hivyo ni caunty ipi?
 
Back
Top Bottom