Asee ni kweli unalosema.. imagine nime take precautions zote almost wiki nzima na operate hako kamashine anakuja much know mmoja anajifanya yeye ndio mchina anaijua mashine...dah ilibaki tu mkono uondoke wote😪Maeneo ya kazi zinazohusisha machine na mitambo mbali mbali, haipaswi kuwa na watu wenye uzembe wa hali ya juu, cha kushukuru ni kwamba upo na ahueni japo maumivu umeyapata
Kwan upo Kenya?!Nimeenda ki private local tu hapa jioni hii ksh700 imenitoka ... sema wameniangalia huyo daktari ameniambia sio severe injuries.. Ni ngozi ya juu tu ndio imenyofolewa😰
Nitazingatia hapo kwenye machungwa ndio naona nitapata...asante mdau nitazingatia🤝🤝Fruits like citrus fruits (oranges, lemons, limes), strawberries, and kiwi are excellent sources of vitamin C, which is crucial for wound healing.
Vitamin C helps in the production of collagen, a protein that supports skin and tissue repair.
Additionally, fruits rich in vitamin A, such as mangoes, papayas, and cantaloupe, also aid in wound healing.