Almanusura nipoteze vidole vyangu viwili vya mkono.(Angalizo! Nimeambatanisha na picha ya majeraha)

Sasa huyo mpuuzi ni kwanini aliwasha mashine??

Na pia mkuu Umeumia sana unawezaje kutumia simu na maumivu hayo?? Maana kama ni mimi sijui hata kama ningeweza kuchati
 
Pamoja na uzembe wa huyo jamaa lakin hata wewe hukua umevaaa PPE yoyote nhimu sana kuzingatia usalama wako uwapo kazin
Ni kweli hata mimi nlizingua... mimi nilikuwa Operator tu maana kimashine ni automatic..sasa kwenye minor settings inabidi nizifanye mwenyewe...Next time itabidi nizangatie precautions zote.. nimejifunza in Hard way.
 
Pole sana
 
Sasa huyo mpuuzi ni kwanini aliwasha mashine??

Na pia mkuu Umeumia sana unawezaje kutumia simu na maumivu hayo?? Maana kama ni mimi sijui hata kama ningeweza kuchati
Mimi ni left hand mdau ..af kuandika natumia dole gumba tu
 
Pole sana mpambanaji
 
Sasa huyo mpuuzi ni kwanini aliwasha mashine??

Na pia mkuu Umeumia sana unawezaje kutumia simu na maumivu hayo?? Maana kama ni mimi sijui hata kama ningeweza kuchati
Maumivu yapo kwa mbali maana nilitumia pain killers na baadhinya dawa nilopewa kwa hiyo maumivu sio makali sana. Labda muda wa kulala..😰
 
Uwe unaweka Kibao au sticker kwenye sehemu ya kuwashia. Unayosema USIWASHE KUNA UKARABATI/FUNDI YUPO KAZINI
au
Chomoa kabisa fuse weka mfukoni.
 
Jikaze, ndio majukumu ya kiume hayo.

Mimi vidole vyangu ni vyembamba kwa ajali hiyo ni vingekatika kabisa.
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…