Almanusura nipoteze vidole vyangu viwili vya mkono.(Angalizo! Nimeambatanisha na picha ya majeraha)

Hakika nimekuelewa
 
Siyo kuzimwa ni kudesconnect machine yani kama inatumia umeme chomoa kabisa machine kwenye umeme na kama inatumia mafuta chomoa prag kabisa
 
Pole Sana mkuu
 
Ngeu ndogo tu kamulia mashona nguo siku chache patabanduka na kutengeneza ngozi mpya... Ila pole mkali
 
No

Nitazingatia hapo kwenye machungwa ndio naona nitapata...asante mdau nitazingatia🀝🀝
Juisi za Vitamin C zina heal vidonda ,maana unaweza kuwa na matunda meeng yakaharibika katika kujazia aliyosema Ndugu yangu mfano matunda kama malimao,maembe,mananasi,guava,mapapai
 
Pole sana mkuu
 
Pole sana kaka nenda hospital wakakufanyie surgical debridement wakupe na antibiotics ila utahitajika kuwa unafanyiwe wound dressing. Kuhusu muda wa kupona inategemea factors nyingi ikiwepo cigarette smoking, your immune status, hygiene na nutrition status. Ila weka maximum 1 month.
 
Wound dressing ni kila baada ya siku ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…