Aloo customer service ya NMB Mlimani city ni mbovu sana

carnage21

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2023
Posts
591
Reaction score
1,382
Leo asubuhi nimeenda pale mliman city kusolve mambo yangu ya kibenki,nlichokutana nacho ni balaa.Kwanza wahudumu ni wachache sana hawakidhi mahitaji ukiangalia huu ni mwisho wa mwezi watu wamepokea mishahara yao.

Kingine hata viti tu vya kukalia pale kwa wateja wanaosubr customer care ni vichache,so unakuta kuna mlundikano mkubwa wa watu waliosimama.Hii inapelekea hata muonekano wa mle ndani kuwa mbaya sana.

Kwanza NMB eneo lao mle ndani ni dogo sana ukilinganisha na benki kama CRDB, pia zile ATM zao zina shida sana mara hazina hela,mara sjui zinagomagoma yan mambo mengi.Unakuta watu wanaosubr huduma ya ATM wamerundikana mno pale nje mpaka kero.

Kwa kweli nlichokutana nacho leo sijakipenda
 
NMB Kokote Kule Wana tabu tu. Nlienda NMB Temeke kenge mmoja anatembea na huduma za kuofisi. Usipomkuta huyo umfate alipo au usubiri mpaka aje
 
Kumbe haya matatizo yapo branch nyingi eeeh
 
Uweledi unakosekana sehem nying sana nchini basi tu watu tunakaa kimya lkn kwa kifupi kama taifa tuko nyuma kwenye mambo mengi sana
 
Nikajua ni sisi wakulima wa huku vijijini tu ndo tunatesekaga na Hawa NMB kumbe hadi nyie wa mjini kumbe mnaisoma namba
 
NMB Kokote Kule Wana tabu tu. Nlienda NMB Temeke kenge mmoja anatembea na huduma za kuofisi. Usipomkuta huyo umfate alipo au usubiri mpaka aje
Aiseee NMB ni janga la taifa ukitaka kuamini nenda wilayani huko afu uwe na shida ya kutoa pesa ATM afu ziwe tarehe za mishahara, utajutaaaaa

Nilihama Bank kwa mda dadekii
 
Leo asubuhi nimeenda pale mliman city kusolve mambo yangu ya kibenki,nlichokutana nacho ni balaa.Kwanza wahudumu ni wachache sana hawakidhi mahitaji ukiangalia huu ni mwisho wa mwezi watu wamepokea mishahara yao.

Kingine hata viti tu vya kukalia pale kwa wateja wanaosubr customer care ni vichache,so unakuta kuna mlundikano mkubwa wa watu waliosimama.Hii inapelekea hata muonekano wa mle ndani kuwa mbaya sana.

Kwanza NMB eneo lao mle ndani ni dogo sana ukilinganisha na benki kama CRDB, pia zile ATM zao zina shida sana mara hazina hela,mara sjui zinagomagoma yan mambo mengi.Unakuta watu wanaosubr huduma ya ATM wamerundikana mno pale nje mpaka kero.

Kwa kweli nlichokutana nacho leo sijakipenda
Nataman niandike uozo niliokutana nao bank Moja ya NMB mkoa wa Mara wilaya Moja lakin nakaa kimya kulinda biadhara zao mtoa huduma anafokea wateja utadhani umefika polisi

Yaan pesa ni zangu mnapata faida kupitia Mimi afu unifokeee, wekend naenda Mwanza nitaonana na meneja wa Kanda Nitamwambia mfanyakazi wake alivyonikwanza nisiposaidika nitaenda mbele zaid
 
Back
Top Bottom