carnage21
JF-Expert Member
- Jan 24, 2023
- 591
- 1,382
Leo asubuhi nimeenda pale mliman city kusolve mambo yangu ya kibenki,nlichokutana nacho ni balaa.Kwanza wahudumu ni wachache sana hawakidhi mahitaji ukiangalia huu ni mwisho wa mwezi watu wamepokea mishahara yao.
Kingine hata viti tu vya kukalia pale kwa wateja wanaosubr customer care ni vichache,so unakuta kuna mlundikano mkubwa wa watu waliosimama.Hii inapelekea hata muonekano wa mle ndani kuwa mbaya sana.
Kwanza NMB eneo lao mle ndani ni dogo sana ukilinganisha na benki kama CRDB, pia zile ATM zao zina shida sana mara hazina hela,mara sjui zinagomagoma yan mambo mengi.Unakuta watu wanaosubr huduma ya ATM wamerundikana mno pale nje mpaka kero.
Kwa kweli nlichokutana nacho leo sijakipenda