Aloyce Nyanda atishiwa kisa Machapisho ya Instagram

Wakati huu kila mtu ajilinde mwenyewe, linda sana your handwriting, nobody cares about you.
 
Unatafuta mkate wa siku wa njia ngumu sana! Aya, ushaingiza buku7 relax sasa uanze kutumia akili
 
Nyie hamna familia Duniani tunapita Nyerere yuko wapi aliyepigania uhuru?
 

Maza ni hatari kuliko watangulizi wake.
 
Hizi ramli na kelele za vioja haziwezi kuyumbisha chochote..
Acheni kwanza ramli, tafuta njia sahihi ya kumtoa yule tapeli wa kisiasa kule gerezani acha kutapatapa
 
Huyu aliyefunguliwa saloon Igoma, Mwanza, na anaishi kwa fedha ya mkewe mwenye ka microfinance?aliishi kwa upambe kwa Majaliwa, nadhani yeye na pole pole ni victims wa situation. Bado kuna hukumu dhidi yake alipe billions
Kumbe unamjua?

We unakaa igoma sehemu gani?
 
Unatafuta mkate wa siku wa njia ngumu sana! Aya, ushaingiza buku7 relax sasa uanze kutumia akili
Mnadhani mm ni kama nyie mnaopewaga hela za tone tone ambazo mnawatapeli watanzania?
By the way mimi nina shughuli inayoniingizia kipato changu..
La msingi acheni utapeli wa kisiasa!
 
Huyo mbona anajulikana sana, hata vihela vya harusi alichangiwa na wale nyumbu chadema wanaokaa na kubwabwaja pale kwa mzee chale mshona viatu almarufu kama kemondo..
Nyanda anajulikana sana!
😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…