Uchaguzi 2020 Aloyce Tendewa ambaye alikuwa Mlinzi wa Mwl. Nyerere na Lowassa achukua fomu ya Ubunge Kilombero

Uchaguzi 2020 Aloyce Tendewa ambaye alikuwa Mlinzi wa Mwl. Nyerere na Lowassa achukua fomu ya Ubunge Kilombero

Ila picha yake ametokea vzr, mbona kawa mnene namna hyo, naona na uzee unamnyemelea sana hapo huyo mdada.
 
Mbona unaandika kama mtoto wa darasa la pili/ Then Nyerere ndo utopolo gani?
 
Mazoezi tu mkuu

Mwaka 2016 wakati anafukuzwa kazi alikua na miaka 59 kwahiyo hii 2020 atakua na miaka 63

Ila ukimgusa hapo mchokoze uone moto wake kama kijana wa miaka 25
Kwa umri wake hawezi kua na flexibility ya mtu wa miaka 25 ila atakua ana uzoefu zaidi ya mtu wa miaka 25 so badala ya kuhangaika kukurupushana ni atakukaba tu ufe
 
Tangu kipindi cha Nyerere?,Hawa wazee kwa ulafi kiboko!...wanapaswa kutundika daluga na kuwachia vijana...
 
Tangu kipindi cha Nyerere?,Hawa wazee kwa ulafi kiboko!...wanapaswa kutundika daluga na kuwachia vijana...
Mtu alikuwa mlinzi anaulafi gani, muda wote anawaza maisha ya mtu mwingine...hata sehemu ya kupigia ugisadi hana...
 
Mazoezi tu mkuu

Mwaka 2016 wakati anafukuzwa kazi alikua na miaka 59 kwahiyo hii 2020 atakua na miaka 63

Ila ukimgusa hapo mchokoze uone moto wake kama kijana wa miaka 25
Nilishawahi kumtukana hana lolote kama mabaunsa wa buzà tu
 
Majamaa yanayochukua form CCM utadhani yanaenda kushabikia mpira vile. Yani wengi vilaza, hata hawajui ubunge ni nini!
Kazi za mbunge wa CCM wamegundua hawashindwi. Kulala bungeni, kupiga makofi kwa kila jambo na ukipewa nafasi za kuzungumza mtukane Mbowe nk kwa mshahara wa mamilioni!
 
Kumbe makirikiri nao wanakuaga na kadi za Lumumba kwenue mabego yao
 
Kuna mahali nilisoma kuwa umetolewa waraka unaowakataza wana ccm kutia nia ya ubunge pale ambapo kuna mbunge aliyekuwa mpinzani akatoka na kuunga mkona JPM. Sasa hapo Kilombero si ndiko kwa Lijualikali! Au habari ile ilikuwa ya Uongo, au ilizuiwa kutia nia ila kugombea ruksa? Kama ni ya uongo basi JF inapoteza uelekeo
 
Back
Top Bottom