Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa umri wake hawezi kua na flexibility ya mtu wa miaka 25 ila atakua ana uzoefu zaidi ya mtu wa miaka 25 so badala ya kuhangaika kukurupushana ni atakukaba tu ufeMazoezi tu mkuu
Mwaka 2016 wakati anafukuzwa kazi alikua na miaka 59 kwahiyo hii 2020 atakua na miaka 63
Ila ukimgusa hapo mchokoze uone moto wake kama kijana wa miaka 25
Mtu alikuwa mlinzi anaulafi gani, muda wote anawaza maisha ya mtu mwingine...hata sehemu ya kupigia ugisadi hana...Tangu kipindi cha Nyerere?,Hawa wazee kwa ulafi kiboko!...wanapaswa kutundika daluga na kuwachia vijana...
Nilishawahi kumtukana hana lolote kama mabaunsa wa buzà tuMazoezi tu mkuu
Mwaka 2016 wakati anafukuzwa kazi alikua na miaka 59 kwahiyo hii 2020 atakua na miaka 63
Ila ukimgusa hapo mchokoze uone moto wake kama kijana wa miaka 25
Kazi za mbunge wa CCM wamegundua hawashindwi. Kulala bungeni, kupiga makofi kwa kila jambo na ukipewa nafasi za kuzungumza mtukane Mbowe nk kwa mshahara wa mamilioni!Majamaa yanayochukua form CCM utadhani yanaenda kushabikia mpira vile. Yani wengi vilaza, hata hawajui ubunge ni nini!